Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Taarifa: Ndege DC 8 N782SP imewasili Mji Mkuu Charlotte, NC katika Amerika majira ya saa 3 asubuhi ( Saa za Afrika Mashariki). Watoto wamepelekwa hospitali mjini Charlotte kwa madhumuni ya kuimarisha afya zao (medical stabilisation), na baadae kidogo wataingizwa kwenye ndege Maalumu ya Wagonjwa (air ambulance) kuelekea Sioux City, Jimbo la Iowa kwa matibabu kamili katika hospitali ya Mercy.