Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,203
- 157,369
Kama kuna uwezekano wa bia kuuzwa TZS 1500 Je kwanini muda wote mmekuwa mkituuzia kwa 2500?
Wamedilute matirio..Kama kuna uwezekano wa bia kuuzwa TZS 1500 Je kwanini muda wote mmekuwa mkituuzia kwa 2500?
Ujazo ni tofauti mkuuKama kuna uwezekano wa bia kuuzwa TZS 1500 Je kwanini muda wote mmekuwa mkituuzia kwa 2500?
Sisi huku magufuli katuondolea zile za bei chee sasa itabidi tuwe tunakunywa gongo hakuna namnaKama kuna uwezekano wa bia kuuzwa TZS 1500 Je kwanini muda wote mmekuwa mkituuzia kwa 2500?
Mvhungaji leo unalilia kinywajiKama kuna uwezekano wa bia kuuzwa TZS 1500 Je kwanini muda wote mmekuwa mkituuzia kwa 2500?
Balimi mls 500 TZS 1500Hahaha ujazo tofauti wa hizo bia ndio maana