Yuko wapi Askofu Kakobe

fredymkanza

JF-Expert Member
Jun 19, 2016
284
152
Habarini za asubuhi!
Jamani wadau naombeni kuuliza kuna mtumishi mmoja anaitwa Kakobe je alipotelea wapi?
 
Kashaokota pesa za 'wasiokuwa nazo' sasa kaacha uwanja kwa Lusekelo na Gwajima.
 
This is hypocrisy question!
Yupo pale kanisani kwake, kama safari anafanya kwa muda tu kama watu wengine.
Hivi akisema, "niko hapa nahitaji namba yako ya simu nikupigie"
Utampa?
 
Back
Top Bottom