Kitikiti
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 353
- 249
Saa hizi moja na nusu jioni ya leo tarehe 15 May 2017 najaribu kufungua www.utumishi.go.tz haifunguki. Nauliza je inapatikana vipi?.
Mi sijaajiriwa, na siongelei kuhusu ajira naongelea habari za hawa wenye vyeti feki wizara haitoi habari za kutosha na inasababisha vihabari vingi vya uongo kuzagaa unakuta taarifa kibao mtaani na kwenye website yao ni hazipoMbona umekasirika?. Naamini utapona na kuipongeza Wizara yetu ya UTUMISHI.