Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WIZI.....WIZI .............Salamu wandugu! Gari Rav4 yenye namba T710 DGN imeibiwa usiku wa kuamkia leo. kwa yeyote atakae iona tunaomba ataoe taarifa police au kwa namba hizi 0713 119 923 au...
1 Reactions
63 Replies
10K Views
Habari wan jamvi. Usafiri wa baharini kati ya Zanzibar na Dar es salaam, umeboreshwa sana na boat nzuri sana za Bakharesa, boat zao ni nzuri sana na zimesaidia sana. Tatizo linalojitokeza kwa...
13 Reactions
79 Replies
21K Views
Habar ya hasubuh ndgu wana jamvi? Ndgi zangu wanajamvi,nchi yetu umefika iliko kwa kila mmoja wetu kutimiza wajibu wake aidha vyema au vibaya ilimradi katimiza wajibu! Kiuchumi nchi yetu imefika...
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Wana JF habarini! Kuna jambo linanitaza saana hasa kwa sisi wa Mikoani kuhusu Bajaji (pikipik za magurudumu matatu); Je sheria ya vyombo vya moto inapowaacha wauzaji kutoa PLATE NUMBER MOJA...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau Azam tv wamekua wasumbufu sana kutoa huduma ya kununua vifurushi vyao unaweza kununua kifurushi pesa inakatwa na huduma hawakupatii, aidha ukipiga namba zao zinaita sana bila kupokelewa...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Nikikumbuka tukio la Nape na hili la Malima naona kuna shida kubwa sana ambayo kama Serikali isipoingilia hapo mbeleni kutakuja kutokea Mauaji. 1. Askari wetu wengi ni Form Four Failures kwa...
31 Reactions
146 Replies
10K Views
Kamishina Siang'a mteule wa Rais wa Mamlaka ya kudhibiti madawa ya kulevya Polisi kwa Sasa wanavamia maskani na kukamata vijana na kuwepeleka mahabusu kwa wingi sana. Vijana wengi wanafunguliwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Inasikitisha sana wandugu haya yanayotokea sijui tumepoteza direction,Mr Presidaa futa hili kampuni la City parking,hahitaji kufikiri kwa nini wapo mfano tu wanakuzuia hata kupaki mbele ya duka...
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Habari wakuu. Ninafanya tafiti juu ya Taasisi za kidini; maendeleo na changamoto zake katika utoaji wa huduma za kijamii Tanzania. Sasa kuna MOU moja kati ya serikali na Taasisi za kidini...
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Mi najiuliza huku nikiuzunika kimoyomoyo. Hivi ni kweli serikali ya Tanzania haikuwa na uwezo wa kupeleka watoto wawili nje kupata matibabu ya haraka. Yani serkali ilishindwa hata kuwatoa Arusha...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni Tanzania pekee ambapo mtu ataquestion au kudoubt habari ambayo source yake ni Social Media. Wana journalism wanaelewa kabisa kuwa kwasasa dunia ina Media 3 tu: Print Media, Radio & TV Media na...
1 Reactions
1 Replies
898 Views
Tatizo ni mabehewa au tatizo ni njia(reli)?...ndani ya siku moja mabehewa 11 ya treni mbili tofauti yaanguka.7 treni ya kawaida na ma4 delux train.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu Leo redio ebony FM ya mjini iringa Wakati wakitangaza kipindi chao(sikijui jina ila kinahusu habari kinakuwa hewani saa 11 jioni). Walikua wakitangaza kuhusiana na majibizano yaliyotokea...
3 Reactions
34 Replies
6K Views
Nimeimis show ya bongo star search ya Rita paulsen itaanza lini??
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jana usiku nimetoa taadhari kwenye moja ya taasisi za umma juu ya Global Cyberattack - Uvamizi wa kutisha wa udukuzi wa mifumo ya kompyuta - uliotokea jana nikiwataka wachukue hatua za haraka...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
....…..... .......... TAYARI NIMESHAFANIKIWA WANA JF.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za J3 wapendwa Mimi ninapenda sana kula ugali, ninaweza kula chakula hiki siku saba za juma mradi tu nibadilishe kitoweo. Kuna wanaume nikiwaeleza mapenzi yangu kwa ugali wananiona...
23 Reactions
196 Replies
31K Views
Wadau! Mi ninavyo ona hawa watoto wetu tunawachosha mapema sana pasipo kujuwa Kwa hizi sirabasi. Kuna haja gani mtoto ambaye kafanya paper one na two! Bado apewe tena paper three? Kwanini somo...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nawauliza wataalam wa Ujenzi nikiwa na milioni 10 naweza jenga nyumba ya ukubwa gani Mnijuze.
1 Reactions
25 Replies
43K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida iliyotokea mapema hii leo jijini Dar es salaam kwa kitendo cha cha aliyekuwa Naibu Waziri Wizara ya Fedha katika utawala wa awamu ya nne. Adam Malima kutishiwa...
7 Reactions
158 Replies
14K Views
Back
Top Bottom