emmanuel mhecha
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 933
- 543
Inasikitisha sana wandugu haya yanayotokea sijui tumepoteza direction,Mr Presidaa futa hili kampuni la City parking,hahitaji kufikiri kwa nini wapo mfano tu wanakuzuia hata kupaki mbele ya duka lako Police be professional hawa RAIA wanastress hizo papapapa watakufa kwa presha.