comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Wadau Azam tv wamekua wasumbufu sana kutoa huduma ya kununua vifurushi vyao unaweza kununua kifurushi pesa inakatwa na huduma hawakupatii, aidha ukipiga namba zao zinaita sana bila kupokelewa ukirudia tena unaelezwa simu haipatikani sasa kwa kutambua umuhimu wa huduma hizo ninaomba mamlaka ya mawasiliano Tanzania wajaribu kuwamulika kuna vitu vingi watagundua