Msaada: Namna ya kuwapata MOA Religous Institutions

Msaada: Namna ya kuwapata MOA Religous Institutions

Ben Moha

Member
Joined
Apr 27, 2017
Posts
51
Reaction score
32
Habari wakuu.

Ninafanya tafiti juu ya Taasisi za kidini; maendeleo na changamoto zake katika utoaji wa huduma za kijamii Tanzania. Sasa kuna MOU moja kati ya serikali na Taasisi za kidini niliiona humu miaka mingi sana, sasa siipati tena.

Naomba kusaidiwa niipate.
 
Back
Top Bottom