kitumbotala
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 516
- 623
....….....
..........
TAYARI NIMESHAFANIKIWA WANA JF.
..........
TAYARI NIMESHAFANIKIWA WANA JF.
Mimi ninayo kama unaweza nitumia e-mailKama unamiliki NGO yenye mlengo was kuisaidia jamii na mambo mengine ya kijamii na pia imesajiliwa NJOO PM Haraka
Ninayo nitumie email yako na maelezo ya kutosha kwann watutafutaKama unamiliki NGO yenye mlengo was kuisaidia jamii na mambo mengine ya kijamii na pia imesajiliwa NJOO PM Haraka
wewe vipi mbona unaandika vitu visvyo na uhusiano na uzi uliopo hapo juu?wazifute tuu hakuna namna inachosha mtu unashinda mara wizarani mara uhakiki mara usajili mara benki etc inachosha mweeee. Halafu kilichonikera siku moja nililipia gharama ya mwaka ya usajili bahati mbaya hatukuipeleka benki slip mambo ya ndani hapa mkoani kurekodiwa na mbaya zaidi ikawa misplaced. nikaipata baada ya miezi mitatu kuipeleka kwa mhasibu akagoma kuirekodi ati niende makao makuu Dar! wakati benki slip inaonyesha kabisa nimelipa kwenye akaunti mambo ya ndani anasema niende makao makuu ndiko ikawe recorded. sasa nitoke kigoma mpaka Dar kwa ajili ya risiti. waifute tuu!
PM ndo nini na unafanyaje kuipata?Kama unamiliki NGO yenye mlengo was kuisaidia jamii na mambo mengine ya kijamii na pia imesajiliwa NJOO PM Haraka
wazifute tuu hakuna namna inachosha mtu unashinda mara wizarani mara uhakiki mara usajili mara benki etc inachosha mweeee. Halafu kilichonikera siku moja nililipia gharama ya mwaka ya usajili bahati mbaya hatukuipeleka benki slip mambo ya ndani hapa mkoani kurekodiwa na mbaya zaidi ikawa misplaced. nikaipata baada ya miezi mitatu kuipeleka kwa mhasibu akagoma kuirekodi ati niende makao makuu Dar! wakati benki slip inaonyesha kabisa nimelipa kwenye akaunti mambo ya ndani anasema niende makao makuu ndiko ikawe recorded. sasa nitoke kigoma mpaka Dar kwa ajili ya risiti. waifute tuu!
mbona na wewe unajibu topic isiyohusu mada ya mwanzo?wewe vipi mbona unaandika vitu visvyo na uhusiano na uzi uliopo hapo juu?
Ndugu ungetoa maelezo kidogo tukaelewa tambua kuwa NGOs zipo nyingi zinatoa huduma tofauti, zingine Zina usajili wa mkoa na wilaya. MI nafanya kazi NGOs nashindwa kuja PM sijuih una lenga kitu ganiKama unamiliki NGO yenye mlengo was kuisaidia jamii na mambo mengine ya kijamii na pia imesajiliwa NJOO PM Haraka