I Ismail Kahenga Member Sep 30, 2014 10 4 May 14, 2017 #1 Tatizo ni mabehewa au tatizo ni njia(reli)?...ndani ya siku moja mabehewa 11 ya treni mbili tofauti yaanguka.7 treni ya kawaida na ma4 delux train.
Tatizo ni mabehewa au tatizo ni njia(reli)?...ndani ya siku moja mabehewa 11 ya treni mbili tofauti yaanguka.7 treni ya kawaida na ma4 delux train.
roboka kafwekamo JF-Expert Member Mar 12, 2017 821 449 May 17, 2017 #6 Kilikuwa kipindi cha sadaka kwa hiyo tatizo barabara au magari mabovu
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 92,333 111,889 May 17, 2017 #7 Reli ni ya mwaka gani mpaka leo haijafanyiwa matengenezo makubwa? Treni nazo zinachangia sana.