Riziki Mohammed
Senior Member
- Mar 4, 2017
- 118
- 205
Ni Tanzania pekee ambapo mtu ataquestion au kudoubt habari ambayo source yake ni Social Media. Wana journalism wanaelewa kabisa kuwa kwasasa dunia ina Media 3 tu: Print Media, Radio & TV Media na Social Media.
Ni Tanzania pekee ambapo Kiongozi wa Umma anabeza Social Media ili hali anakiu ya kuwa front page ya Gazeti!!
Pia utakuta MwanaJF kaingia gharama ya muda na research kwa njia ya Mtandao na kuleta thread yenye mantiki lakini 80% ya wanabodi watamuuliza "Source ya habari?"
Sasa kwa taarifa yenu mnaobeza, wakosoaji, waondoa attention na hata walengwa ambao hamna Elimu ya uandishi: Social Media ni jibapa. Angalieni The Citizen, Mwananchi, TBC n.k...wote wanatumia Stock Images, Online Templates, wanaqoute walls za watu hasa mashuhuri kwenye Twitter, n.k., then leo kuna mtu akilini mwake kashindwa kurasmisha Social Media kama chanzo cha habari!!
[HASHTAG]#MessageSent[/HASHTAG]