Ilikuwa mwaka 1996 baba yangu ndipo alipotuaga pale nyumbani Karegeya
Ilikuwa ni safari ya baba kuelekea Mwanza kisha aweze kuelekea jijini dar Es Salam kikazi
Ilikuwa ni utamaduni wa baba...
Wadau naomba usaidizi nipate mawasiliano ya Dar ES Salaam School of Journalism na Tanzania School of Journalism.
nina mdogo wangu anataka kwenda shule ya uandishi wa habari na utangazaji. kama...
176A
. Every person, being the keeper of any bar, hotel, house,
shop, room or other place of public resort for the sale or consump-
tion of refreshments of any kind, who knowingly permits or...
Wakuu habari zenu,
Mimi ni kijana mtanzania mwenzenu ambae nipo kwenye dimbwi kubwa la mawazo kutokana na mambo yaliyonitokea. Kiufupi wakuu nilishapoteza wazazi wangu wote hivyo wakaniacha...
Ooh! Toka lini unga uwe na bei kuliko mchele?
Wafanyabiashara waliokuwa hawalipi kodi wamebanwa kulipa kodi na wao wanakomoa wanunuzi kwa sababu wanunuzi hawajui wanalipishwa kodi asilimia...
Wakuu katika kuheshimu Mamlaka Viongozi na hasa Viongozi wastaafu wako nyuma sana mtu unamuuliza kwanini imefanya kitendo hiki hakikubaliki yeye anakimbilia Kusema "Unajua unaongea na Nani?'' Au...
Hbr Jf Kutoka Iringa Kijiji Cha Inkoto Mwalimu Wa Kufundisha Uganga Wa Kuagua Kienyeji Kwa Jina La Utani Pwaarara Amemtia Mimba Mwanafunzi Wake.Chanzo Jamuu Blog Picha Nazi apload
When governments deliver the lies and excuses for their grotesque actions most people are ready to accept them because they want to believe the lies are true. They call it `HUMANITY`
This kind of...
Elimu ni maarifa, mila na desturi zinazopitishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine.
Utoaji wa elimu ni lazima uzingatie mahitaji na mazingira yanayotawala jamii inayohusika.
Utoaji wa elimu...
Labda tukipaza sauti zetu humu JF tunaweza kusikika kwa haraka na pengine hata kupata msaada wa kiulinzi na kiusalama.
Mheshimiwa rais Magufuli, waziri wa mambo ya ndani Mwigulu Nchemba, inspekta...
Salama wakuu,
Nataka kubadili mwenendo wa maisha yangu toka hapa nilipo kuelekea pazuri zaidi, naomba kama unamjua mtu ambae anatoa motivational and inspirational contents about life naomba...
Wanabodi, karibuni jukwaani, JPM na Waziri Mkuu Majaliwa wanataka kutueleza nini kuhusu kufuata sheria bila shuruti? Tumeshuhudia yule mke wa Mh. aliyembabaisha trafiki? JPM akampandisha cheo. Hii...
Leo imetimia MIAKA MITANO tuakukumbuka fundi wa mpira na mchezaji hatari wa Simba Sports Club Patrick Mutesa Mafisango "Petit Makambo"
Enzi za uhai wake Patrick Mafisango
Ajali ya gari...
Wanyama wengi wakiwemo wanyama wakubwa watano wa Afrika, hurandaranda katika mbuga ya wanyama pori ya Sabi Sand nchini Afrika Kusini.
Wakati mwingine wanyama hawa hupatikana maeneo...
Wale watalii ambao ni wakunga kutoka Marekani, walikuwa wamechelewa safari yao kwa muda wa saa moja. Kumbe Mwenyezi Mungu alikuwa na sababu zake maalum za kuwakutanisha na tukio la ajali ili...
Askari polisi kwa mamia na wa vyeo tofauti wameachishwa kazi kwa kuwa na vyeti feki! Pamoja na kufukuzwa kazi pia watachukuliwa hatua za kisheria kwa kufikishwa mahakamani!
Source: East Africa...
Jamani nina jirani yangu ambae kama rafiki yangu wa karibu.
Yeye shughuli zake ni mjasilia mali na ana biashara zake ndogo ndogo ivi huwa anazifanyaga lakini kila nikionana nae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.