Gari Rav4 yenye namba T710 DGN imeibiwa usiku wa kuamkia leo

D 007

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
206
147
WIZI.....WIZI .............Salamu wandugu! Gari Rav4 yenye namba T710 DGN imeibiwa usiku wa kuamkia leo. kwa yeyote atakae iona tunaomba ataoe taarifa police au kwa namba hizi 0713 119 923 au Voice call +255 714876647

rav 4.jpg
 
Hizi gari zinaibiwa sana...
Na ikitokea imeingia kwenye mikono ya wachaga ndio basi tena...
Cha msingi nenda K/koo gerezani kuna madalali wa magari kule
Nenda fire kuna madalali
Nenda temeke kwenye gereji bubu zile
Nenda tegeta kuna magereji bubu pia ulizia.
Unacho takiwa kufanya jifanye unataka kununua gari zenye specifications kama za gari yako.
Chako ni chako tu utaifahamu.
Pole sana mkuu.
 
thanks
 
Siamini wewe ni wajinga kiasi hiki, Mungu amsaidie alipate.
 
Pole mkuu... Kama una bima kubwa, usiwe na shaka, utalipwa. Ila kama ndio ile bima ya sh buku jero, uhesabu kuwa umeliwa...
 
Pole sana mkuu, wizi unakuacha na kidonda kisichopona. Usisahau pia kupita kwa madalali wa Kidongo chekundu, Sinza Catalunya nk. huko unaweza kupata mawili matatu.
 
Hapo sawa..
Kama ni pole kwa sababu ya kutafuta habari huku na huko sawa.
Lakini sio pole kwa sababu gari limeibiwa.
Gari sio lake. Hajatafuta yeye.
Ni gari la wazazi wake.
Pole wapewe wazazi. Sio yeye.
we jamaa ni wa kuhurumiwa
Hizi gari zinaibiwa sana...
Na ikitokea imeingia kwenye mikono ya wachaga ndio basi tena...
Cha msingi nenda K/koo gerezani kuna madalali wa magari kule
Nenda fire kuna madalali
Nenda temeke kwenye gereji bubu zile
Nenda tegeta kuna magereji bubu pia ulizia.
Unacho takiwa kufanya jifanye unataka kununua gari zenye specifications kama za gari yako.
Chako ni chako tu utaifahamu.
Pole sana mkuu.
 
weka dau mkuu watu wapate moyo wa kulitafuta by the way sinza na temeke ndio wanakata magari siku hizi ila temeke wanakata gari mbovu jalibu ku focus sinza ndio wanakata gari mpya
 
Back
Top Bottom