NajuaKusoma
Member
- May 8, 2017
- 81
- 60
Wana JF habarini!
Kuna jambo linanitaza saana hasa kwa sisi wa Mikoani kuhusu Bajaji (pikipik za magurudumu matatu);
Je sheria ya vyombo vya moto inapowaacha wauzaji kutoa PLATE NUMBER MOJA NI KWANINI? nimebahatika kuona watu wakisahau vitu vyao ndani ya Bajaji na hawazikumbuki najua pia ni kwa sababu hazina NAMBA MBELE na hata zikiwepo unaona wamechora (rangi hafifu na vijibat au viplastick)vibati visivyo rasmi. Watu wa usalama barabarani wapo au ni nini?
Je kuna Mkuu humu JF atupatie ELIMU ya chombo hichi cha Bajaji kuanzia Sheria zake na taratibu za kufanya biashara kisheria kwa kua ni usafiri mwepesi,rahisi na salama katika hali zote za hewa japokua kuna Miji haziruhusiwi kuingia mijini,KWANINI!!??
Hivi hawa BAJAJ, SHERIA INASEMAJE KUHUSU KUTOA TICKET KWA ABIRIA!?
NAOMBA MICHANGO YENU KWA MASLAHI YA UFAHAM KWA WOTE NA KARIBUNI!!