Mzee Chapuuka
Member
- Apr 21, 2017
- 97
- 243
Nawauliza wataalam wa Ujenzi nikiwa na milioni 10 naweza jenga nyumba ya ukubwa gani
Mnijuze.
Mnijuze.
Ungekuwa na angalau milioni ishirini mkuu ndiyo unaweza kupata nyumba ya maana. Usijenge bora nyumba jenga nyumba bora. Pia gharama za ujenzi zinategemea sana ramani yako.Nawauliza wataalam wa Ujenzi nikiwa na milioni 10 naweza jenga nyumba ya ukubwa gani
Mnijuze.
Asubiri nyumba za mnanda zinazouzwa na ma-bank zipo kibao.Kwa hali ilivyo ngumu sasa hivi unaweza kununua nyumba ya vyumba vitatu huko mikoani
Nyumba huwezi kupata ila utaweza kujenga chumba na sebule tu tena vyenye size ndogo mfano chumba 3.0 x 3.0m, sebule 3.0*3.5m na toilet and shower ya 1.2x1.5m. Total area iwe 7.5x4.5mNawauliza wataalam wa Ujenzi nikiwa na milioni 10 naweza jenga nyumba ya ukubwa gani
Mnijuze.
Mzee Chapuka, kuna msemo usemao, " ikiwa hujui uendako kila njia itakufikisha"Nawauliza wataalam wa Ujenzi nikiwa na milioni 10 naweza jenga nyumba ya ukubwa gani
Mnijuze.
Kiwanja kipo maeneo ya Buswelu huku mwanzaKwanza kiwanja unacho na kipo maeneo gani,
Kuna maeneo hiyo hela haitoahi hata msingi!
Kwa nyumba ya vyumba vitatu - hapo utapata msingi tu na tofali mbili za kupanda ikiwa pesa hiyo ni kununua vifaa, kulipa mafundi, na gharama zingineNawauliza wataalam wa Ujenzi nikiwa na milioni 10 naweza jenga nyumba ya ukubwa gani
Mnijuze.
we muongo khaaa huna hata aibu kwan foundation ya ghorofa hyo?Kwa nyumba ya vyumba vitatu - hapo utapata msingi tu na tofali mbili za kupanda ikiwa pesa hiyo ni kununua vifaa, kulipa mafundi, na gharama zingine
Unajenga nyumba kabisa achana na hawa watu ambao hesabu zao zipo kama hawa watu wapiga deal wanaona milion 10 ni ndogo sn .japo huto malizia hadi finishing lkn utakuwa umefika mbali na hiyo hela.Nawauliza wataalam wa Ujenzi nikiwa na milioni 10 naweza jenga nyumba ya ukubwa gani
Mnijuze.
Nyumba ya linta ya udongoNyumba ya vyumba vinne msingi mpaka linta haizidi 7M kama eneo ni zuri. kuezeka hadi finishing inategemea umechagua materials gani. Kuna watu wamejenga kwa gharama kubwa mno sababu ya kushindwa kuwasimamia mafundi, kujua namna ya kununua materials kwa bei nafuu n.k ....mtu unashinda baa kila kitu unamuachia fundi na pesa unarusha tu kwa tigopesa then wanaishia kutisha wengine waone Ujenzi ni very expensive.