MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,358
Kamishina Siang'a mteule wa Rais wa Mamlaka ya kudhibiti madawa ya kulevya Polisi kwa Sasa wanavamia maskani na kukamata vijana na kuwepeleka mahabusu kwa wingi sana.
Vijana wengi wanafunguliwa kesi za madawa bila ushahidi na kuwashurutisha kulipa pesa ili waachiwe kutoka ktk vituo vya Polisi.
Ukishindwa kulipa unapelekwa mahakama ya Jiji na faini papo kwa papo kuanzia 50,000 mpaka 100,000 kwa kijana mmoja.
Wengi wanapigwa na kuumia bila tiba Sasa sijui Kamishina Siang'a hii imekaaje??
Maofisa wa Polisi wanawanyanyasa sana watumiaji wa wadawa ya kulevya..addicts na kuwafanya mtaji wao!!
Kamishina Siang'a uliyepewa Mamlaka na Rais una Maelezo gani kwa Jeshi la Polisi na watumiaji wa madawa ya kulevya!!