Kuna haja gani kuwepo mitihani ya paper one, two na paper three sekondari?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,545
22,050
Wadau!
Mi ninavyo ona hawa watoto wetu tunawachosha mapema sana pasipo kujuwa Kwa hizi sirabasi.
Kuna haja gani mtoto ambaye kafanya paper one na two! Bado apewe tena paper three? Kwanini somo moja mitihani mingi namna hiyo?
Inafahamika kuna theory na practical ambayo ni paper 1&2.. Sasa huu mitihani Wa paper three unasaidia nini?
Tangu njia hii ianze kutumika imeleta faida gani?
Napendekeza ili kuimarisha elimu sekondari;
Walimu Wa masomo nao wawe wanafanya mitihani sambamba na wanafunzi wao kwenye mitihani ya taifa ili isaidie kujuwa uwezo Wa walimu katika shule kabla ya kulaumu wanafunzi wanapofeli!
 
MLETA HII MADA IMENIGUSA KWELI.... ..

MIMI UZULI NILISOMA PGM YAANI NIKIKUMBUKA KIPINDI NAKESHA KUPIGA MSULI WA PEPA ONE HADI TATUU.......

HALAFU LEO HII NIMEJIAJIRI NILICHOKISOMA KITU NILICHOJIFUNZA DARASANI SIO NINACHOKIFANYIA KAZI
Ile integration imekusaidia wapi?
 
Back
Top Bottom