Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Mi najiuliza huku nikiuzunika kimoyomoyo.
Hivi ni kweli serikali ya Tanzania haikuwa na uwezo wa kupeleka watoto wawili nje kupata matibabu ya haraka. Yani serkali ilishindwa hata kuwatoa Arusha kwenda Dar muhimbili!!!
Kwa hiyo tusingepewa msaada au watanzania kujichanga, hawa watoto wangetupiwa tu wazazi wao waangaike nao.
Duhhh. Mungu simamisha dunia mimi nishuke ase.
Hili ni jambo la aibu na silitofautishi na lile la tetemeko la kagera ambapo tulipewa msaada na Museveni wakati sisi hatukuwapa hata chumvi wahanga wa tetemeko wa Uganda.
Kuna viongozi wana roho ngumu kweli kama si za paka aseee!!!!!!!