Nimeshtuka sana nilipomsikia moja ya mtangazaji wa Radio Kili fm- Moshi asubuhi ya leo akisema Gaboni na Mali zipo karibu kabisa kama ilivyo Tanzania na Kenya...
Tena alikuwa akitamka kwa...
Kundi la Lazarus ndilo kundi lenye kuheshimiwa zaidi kwa sasa duniani kwa kuwa na uwezo wa hali ya juu kabisa wa kuingilia mitandao mbalimbali na nyeti na kisha kudukua taarifa mbalimbali.
Pia...
Mahakama ya Sharia katika mkoa wa Aceh nchini Indonesia, imewahukumu wanaume wawili kuchapwa viboko hadharani kwa kushiriki mapenzi ya jinsia moja.
Wanaume hao walipatikana na hatia ya kukiuka...
Kule Kigamboni on your way to Dege, upande wa kushoto ndani ndani niliwahi kuona uwanja wa ndege mdogo nadhani wanauita air stripes. Ningependa kujua ni nani anayeumiliki uwanja huo...
Juzi baada ya simba kuingia mkataba na kampuni ya SportPesa kutoka kenya, leo Mo dewij kaibuka upya
Kutokana na kwamba Dewij sio mgeni wa vilabu na soka la Tanzania, bila shaka drama za simba na...
Wadau,
Mimi siku zote najiuliza kuwa kwa nini Russia hasa huyu Vladimin Putin alimsupport Sana Trump ili ashinde uchaguzi wa Marekani na kumponda bi Hilary Clinton, huyu Putin lengo lake kubwa...
'UPDATE: Watoto Wilson na Sadia walipowasili uwanja wa ndege mjini Sioux City, Iowa mapema usiku kuamkia leo
Dkt Elias Mashalla wa Mt Meru hospital akiwapokea na kuwajulia hali WATOTO Sadia na...
Mimi nina hoja binafsi, kuna taasisi inakuwa na ndugu wa damu kabisa, wameajiriwa hapo, wanaweza kuwa wawili au hata watatu. Utakuta pia kuna Baba, Mama na Mtoto, au mke na mume n.k. Kwa maoni...
UPDATE:
May 17:
MTOTO Sadia na MTOTO Wilson wote walifanyiwa UPASUAJI waliopaswa Jana. Kila MTOTO amewekwa kwenye chumba chake peke yake, na MAMA mzazi na NURSE Moja wanakuwa naye wakati WOTE...
Wakuu nipo njiani kuelekea Masaki katika kushuhudia kuagwa na atimaye mazishi ya aliyekuwa kiingozi wa Freemasonry Afrika Mashariki sir Andry Chande aliyefariki siku chache zilizopita...
Ushauri wa bure jamani startimes nao washitakiwe maana haiwezekani watumie mitambo yetu ya Tbc kuweka. vifaa vyao kwa level ya terrestrial. halafu bado wanatulipisha kila mwezi
Hivi tbc...
Jamani mambo ya startimes yamezidi kua hovyo kwelikweli.
Jana nimeishiwa kifurushi katika king'amuzi changu cha startimes cha ajabu channels zote mapaka TBC hazishiki, channel inayoshika ni...
Ninaandika thread hii kutokana na kitendo cha askari Polisi kupiga risasi tatu hewani huko Masaki akimtishia waziri wa zamani Adam Malima. Polisi wamekuwa na mazoea ya kupiga ovyo risasi hewani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.