Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Polisi nane wameuawa na mmoja kujeruhiwa huko Bungu mkoani Pwani walipokuwa wakirudi kambini baada ya kubadilishana lindo katika kizuizi. Binafsi ninatoa pole za dhati kwa familia, ndugu, jamaa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amewataka wananchi wa Tabora kutumia fursa ya uwepo wa Chuo cha Mafunzo ya Ufugaji Nyuki(BTI) kupata mafunzo ya ufugaji nyuki. Alisema ni...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwanza poleni, mwaka Jana tarehe 30.05.2016 waliripoti kazini na June 2016 zilisitishwa ajira zao kupisha zoezi la UHAKIKI watumishi hewa na vyeti fake, Mwezi 4. 2017 walipigiwa Simu kuulizwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau wa ujenzi njooni hapa tupeane uzoefu katika ujenzi, mfano namna ya kuepuka kreki kwenye nyumba, wapi wanakouza vifaa vya ujenzi kwa bei nafuu, na kadhalika. Karibuni!
0 Reactions
2 Replies
897 Views
Hauna jipya zaidi ya kuabudu mashetani. Kuna taarifa rasmi kuwa Mwenge huo unapofika Rombo-Kilimanjaro hufanyiwa tambiko mbalimbali ili kulinda viongozi wa nchi. Taarifa zinaonesha kuwa kuna...
21 Reactions
192 Replies
50K Views
JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za kujihusisha na uvunjaji wa nyumba na kuiba mali wilayani Ilemela. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naombeni ufafanuzi wadau... Hii imekaaje?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimepata kigugumizi ktk hili nisijue kipi cha kufanya, Hivyo nikaona nisogeze hii kitu Hapa walau mnifungue kiakili/kimitizamo zaiDi Ni kwanini kitu ulichopatiwa kama zawaDi na Mzazi, rafiki...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kikundi kimoja cha kidini mkoani Rukwa kimepiga marufuku waumini wake wa kike wajawazito kuhudhuria kliniki huku watoto wakikatazwa kupokea chanjo yoyote kwa maelezo kuwa ni kinyume na mafundisho...
8 Reactions
115 Replies
10K Views
Vijana wako wamekuwa kero sana hasa kitengo cha pale Kamata na Vitengo vingine vya Polisi ambavo vinashughulika maswala yanayohusu mihamala ya fedha. Wengi wanajua kabisa sheria ya ant-money...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tuliona ile post kuhusu fee ya 1500 kwa watanzania kuingia nationa parks kutolewa kuna mtu aka comment ni mtego ili wakaliwe na simba watu wale rambirambi sasa kuna hii tena....haya bana,haya...
0 Reactions
2 Replies
864 Views
Kwa wale wafanyabiashara wa phamacy, Bar na bidhaa mbalimbali nawaletea software ambayo ndio itakuwa suluhisho la kujua sales, profit, received item nk... Ni very easy, na mhudumu wa counter...
3 Reactions
44 Replies
6K Views
Kuna utapeli upo unaendelea kwenye mitandao.. Kuna watu wanajifanya wanauwezo wa kuwaingiza vijana kwenye mafunzo ya jkt huku wakiomba watumiwe pesa.. Hapa mtaani kwetu kuna mama katapeliwa leo na...
3 Reactions
46 Replies
7K Views
Habari wakuu!! Katika dunia tuliyopo tumejikuta tunazungukwa na watu weeeengiii wa aina na mitazamo mbali mbali, kibaya zaidi tabia nazo zimekuwa changamoto!!! Kutokana na uwingi wa watu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu mimi ni mfantabiashara ninaagiza vifaa vya ujenzi nakuuza.Lakini pia ninategemea kuvuna ngano na kuexport. -Ninapata dollar kadhaa.Nahitaji mnifahamishe benki bora kwa akaunti ya us...
0 Reactions
55 Replies
15K Views
Ana utajiri wa kushtusha! Anamiliki mahotel na nyumba za kifahari za kutisha. Tapeli Ben rowaza mkaazi wa sinza, aliwahi kupata hekaheka za madawa ya kulevya, ugomvi na makonda. Alikamatwa akiwa...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Hili la Roma kushirikiana na baadhi ya wasanii kutumbuiza Ikulu , kwenye ile ripoti ya Mchanga ni lazima lijadiliwe. Ikumbukwe kwamba ni majuzi tu huyu jamaa alitekwa na wanaosemekana ni watu...
5 Reactions
170 Replies
22K Views
Inasikitisha kuwa lile agizo la Mwakyembe kuwa visomwe vichwa tu vya habari katika magazeti linatekelezwa katika hali ya kusikitisha na woga. Ni afadhali muda huo mkautumia kwa kitu ambacho ni cha...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Huu ni wito uliotolewa na mwakilishi wa Taasisi ya Okoa Tembo Tanzania Bwana Shubert Mwarabu. Kwamba serikali imezikamata pembe za ndovu toka kwa wahalifu, sawa, ila kwanini hawazichomi moto...
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Back
Top Bottom