Kwanini ni vigumu kugawa zawadi uliyopewa?

Shareef Conscious

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
522
341
Nimepata kigugumizi ktk hili nisijue kipi cha kufanya, Hivyo nikaona nisogeze hii kitu Hapa walau mnifungue kiakili/kimitizamo zaiDi

Ni kwanini kitu ulichopatiwa kama zawaDi na Mzazi, rafiki, nDugu, Ofisi, taasisi n.k si Vizuri nawe kukitoa kwa mtu Mwingine iwe kililetwa katika Upya wake ama tayari kimekwishatumika?.
Nahitaji nijue km kuna MaDhaRa yyte ama ni Mwiko tu?
 
sidhani kama kuna madhara......

ila jambo lenyewe liko kihekima zaidi na pia zawadi ni kumbukumbu nzuri.

kama mdau alivyosema hapo juu.,,ni ishu ya kuithamini zawadi,, ,,

fikiria leo nakupa zawadi Shati, then unagawa keshi namuona MTU kalivaa..............sitajiskia vizuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom