ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Tuliona ile post kuhusu fee ya 1500 kwa watanzania kuingia nationa parks kutolewa kuna mtu aka comment ni mtego ili wakaliwe na simba watu wale rambirambi sasa kuna hii tena....haya bana,haya weeeeeee.