Viva forever
Member
- Feb 28, 2017
- 18
- 14
Ana utajiri wa kushtusha! Anamiliki mahotel na nyumba za kifahari za kutisha. Tapeli Ben rowaza mkaazi wa sinza, aliwahi kupata hekaheka za madawa ya kulevya, ugomvi na makonda. Alikamatwa akiwa na cheo cha koplo osterbay na kutakiwa akatoe maelezo ni juu ya kutajwa kwake na madawa ya kulevya.
Ben rowaza polisi wa cheo cha koplo hosterbay iweje awe na uwezo wa utajiri kufuru kiasi hicho? Kufuru anayoifanya huko sinza inasemekana amenunua kipande cha mtaa mzima, anajenga hotel kuubwa ya kifahari. Kawavua raiya mtaani na kuwahamishia eneo hilo hilo la sinza kwa kuwanunulia nyumba na kuwajengea mijengo na pesa juu. Jeuli hii anailata wapi Ben rowaza polisi koplo hosterbay??? Hishu ni -
MKE NDIYE MWENYE PESA!!
Mke wa Ben ndiye mwenye pesa na yeye ndiye muuzaji wa dawa za kulevya. Huwa anaruka china na nchi zingine za Asia kupeleka na kuchukua mzigo. Ben ni afisa polisi. Yeye anajuana na baadhi ya maofisa wa ushafirishaji. Hao anachonga nao dili ili kuruhusu dawa kupita. Anamlinda mkewe kwa kigezo cha cheo cha upolisi. Hata pale Ben alipokamatwa, mama ndiye aliyemsaidia kutoka. NI KWELI BEN ROWAZA ANAHUSIKA katka sakata zima la dawa za kulevya. Anajua na anahusika na dawa za kulevya.
Mfumo mzima wa udhibiti wa dawa za kulevya wa Paul makonda ni kiini Macho! Serikali inawajua hawa watu vizuri sana kuwa ni wauzaji wa dawa hizo Lakini inaishia kuwapiga faini tu na kuwaacha! Ben rowaza yu huru sasa. Yupo uraiani baada ya kushikiliwa na makonda kuhusu tuhuma za dawa za kulevya. Amelipa faini, hakuna ajuaye.
Ila Ben mtuhumiwa wa kweli yupo huru sasa anakula bata na ninavyo kwambia sasa anampango wa kuendeleza ujenzi wa Hotel lake huko sinza lililochukua eneo zima la kipande cha mtaa. Kuna mengi nitayatoa hapa pamoja na picha siku zijazo. MAKONDA
MKAMATE BEN ROWAZA NA MKEWE ni kweli hawa watu wanahusika na dawa za kulevya.