Teketezeni pembe zenu za ndovu basi-"Okoa tembo wa Tanzania"

majebsmafuru

JF-Expert Member
May 1, 2017
453
635
Huu ni wito uliotolewa na mwakilishi wa Taasisi ya Okoa Tembo Tanzania Bwana Shubert Mwarabu.

Kwamba serikali imezikamata pembe za ndovu toka kwa wahalifu, sawa, ila kwanini hawazichomi moto?! Tatizo liko wapi?!

Maoni yangu:-
Tayari serikali yajulikana kupiga marafuku kuhusu hili swala, na adhabu zake ni kali kulikoni, ila kwani kuzichoma pembe kutawarudisha wale Tembo waliouwawa kikatili?!

Kwani zikiuzwa na mapato kuelekezwa huko huko katika kulinda Tembo wetu au kutumia mapato yake kuendeleza miundo mbinu vijijini kuna ubaya gani?!
Karibuni..
 
Back
Top Bottom