Nipo mbioni Kufungu saccos ambayo itawezesha kukopa pesa kwa vijana na kutoa ushauri kuhuhusu biashara ili kujikomboa
Changamoto ni nyingi sana mtaani hususani kwa vijana wasomi wakisubilia...
Waislamu wanaoishi katika eneo la kaskazini mwa dunia, hasa nchi za Scandnavia, wanakabiliwa na changamoto ya kufunga muda mrefu ambao mara nyingi huwa ni zaidi ya saa 20.
Katika nchi ya Finland...
Kwa ufupi
Kampuni ya Usimamizi wa Mali ya Nigeria (AMCON), iliyoundwa wakati wa kuyumba kwa benki, inakaribia kuuza Kiwanda cha Magari cha Peugeot cha Nigeria (PAN).
Mfanyabiashara tajiri Afrika...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira January Makamba amesema zaidi ya ekari 2500 za hifadhi ya mazingira nchini zinateketea kila siku na kusababisha mabadiliko ya tabia...
Watu sita wakiwemo wanne raia wageni kutoka nje ya Tanzania wamejeruhiwa vibaya kwa kuchomwa na kisu usiku wa kuamkia leo katika mgahawa wa Lukman Mkunazi Mjini Zanzibar.
Kamanda wa Polisi Mkoa...
Serikali imetangaza kuanzia June 2 hadi 4, 2017 Watanzania wataingia bure katika Mbuga na Hifadhi za Wanyama nchini kote ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Mazingira Tanzania ambayo...
Nipende kumpongeza mh rais John Magufuli kwa jitihada zake za dhati kabisa anazozifanya kuhakikisha watanzania tunanufaika na rasilimali zetu.
Nchi hii ina kila aina ya tunu kiongozi akiwa na...
Kila mwaka Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ hutoa ripoti ya hali ya Mazingira Duniani ambapo mwaka 2017 WHO pia imetoa list mpya ya miji 38 michafu na yenye hali mbaya ya hewa barani Africa.
Nigeria...
Mitaani mjini Zanzibar wanapita maafsa (walovimbiwa bado mlo wa asubuhi mapema)karibu na nyumba za Wakristo/Wabara kuona au kunusa kama kuna mapishi yanafanyika, wanazidisha sasa kwani mtu atazuia...
Mwanza. Mkazi wa Kitangili, Shinyanga Francis Kilalo (31)anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora kukutwa na sare na vifaa vingine vya Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) ambavyo...
aisee kuna wananchi hutoa report zao za usomaji wa vitabu,zinaogofya. Mfano baba Ummy ambaye mwaka huu kasoma 53 ambapo ni kama kitabu kimoja kwa kila wiki na chenji inabaki(mwaka una wiki 52)...
Kuanzia juzi habari zinavuma kwamba lile gwiji la mitandao barani Africa Will Bill Malecela ndilo chaguo la Mkuu kuchukua nafasi ya ukuu wa mkoa pale kilimanjaro
Basi bwana unaaambiwa kuna watu...
Nimekua nafuatilia sana hizi mechi za vodacom premier leaque ,
Nianze na Simba na Yanga, hizi ndo timu hapa Tanzania zinadumaza mpira kwanza wao ndo wanaongoza kutoa rushwa kwa hizi timu ndogo...
Wadau hivi kwanini wazee wengi walio pitia Ubaharia hupenda kujiona bado ni Vijana?
Muangalie baba yake Dully Sykes mzee Abby Sykes,Mihereni na Mipete vidoleni mpaka Uzeeni .Yupo Mzee mwingine...
Hii nimekutana nayo kwenye mojawapo ya hospitali kubwa Ughaibuni baada ya kwenda na vishida vyangu!
Kwa mujibu ya daktari niliyemuomba anipe njia yoyote au vyakula vya kunisaidia kutosahau mapema...
Katika mazingira ya kushangaza imekuwa ni vigumu kuona viongozi waCCM wakitaka migodi yetu na rasilimali zetu zikitumika kukuza na kuleta maendeleo kwa nchi yetu, badala yake tumekuwa tukisikia...
Ni Tanzania pekee wananchi hulipishwa ushuru wa huduma bila kuwako kwa huduma husika. Ni Tanzania pekee waweza lipishwa ushuru wa parking eneo lisililo na miundombinu ya parking....Miundombinu ya...
Kuna mgogoro mkubwa sana wa ardhi ambao unafukuta kwa zaidi ya miaka kumi sasa maeneo ya Kivule kata ya Msongola mtaa wa Mbondole. Kesi iko mahakama kuu divisheni ya ardhi, mlalamikaji anaitwa...
Mwezi sasa umepita tangu report ya kwanza ya watumishi wenye vyeti fake ktolewa, watu wamelia, wamehuzunika na watu wengine wakifurahi maana kufa kufaana!
Waliofurahi ni ambao hawana ajira na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.