Siri ya Mwenge wa Uhuru

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Hauna jipya zaidi ya kuabudu mashetani. Kuna taarifa rasmi kuwa Mwenge huo unapofika Rombo-Kilimanjaro hufanyiwa tambiko mbalimbali ili kulinda viongozi wa nchi.

Taarifa zinaonesha kuwa kuna Wazee maalum wameandaliwa kule Rombo kwa ajili ya matambiko haya kila mwaka.Mmoja wa wazee hao aitwaye Mzee Malamsha amenithibitishia hicho.

Kwenye matambiko hayo,kafara hutolewa.Na kadhalika na kadhalika.Ndio maana,kila mwaka Mwenge wa Uhuru lazima ukimbizwe Mkoa wa Kilimanjaro na kufika Wilaya ya Rombo.

Mwenge huu ni wa kuupiga vita. Unaleta laana zaidi ya baraka. Unatubakisha kama nchi kwenye kuabudu mizimu badala ya kusonga mbele kimaendeleo.

Laana za Mwenge huu ndizo zinazotufanya tusieendelee. Ni muda sasa wa kuachana na imani hizi za kishirikina kwa kuachana na Mwenge huu.
 
Kwa uelevu nilionao ninatambua ya kwamba dhana nzima ya mbio za mwenge na uwepo wa mwenge unahusika moja kwa moja na ibada za kishetani. Sina uhakika sana na uwepo wa matambiko huko Rombo kama ulivyotabainisha.
Kwa babu na wazee wetu wenye uelewa na nini kilifanyika wakati Tanzania inakaribia kupata uhuru na siku ya 9/12 wanaeleza wazi jinsi Taifa hili lilivyokabidhiwa kwa mashetani na yule ambaye Watanzania zaidi ya 70% walikuwa wakimtukuza kama Baba yao, (Kambarage).
Kuna ushahidi ambao Kambarage ameshawahi kuutamka mbele ya kadamnasi jinsi alivyozindikwa na wazee wa Mzizima(mafundi wa jiji) kabla ya kwenda UN.
Siku mmoja wa wanajeshi wa Tanzania(nadhani kwa jina atakua anaitwa Nyirenda kama sijakosea) alipopandisha mwenge na bendera ya Taifa kwenye kilele cha mlima mrefu kuliko yote barani Afrika, ndiyo siku Tanzania ilipojikabidhi rasmi kwa baba wa uovu, na kwa heshima hiyo Taifa letu likatunukiwa heshima kubwa katika vyeo vya kichawi Afrika.
 
Muongo mwenge hukimbizwa wilaya zote za Tz kila mwaka na co Rombo peke yake. Jipange ndugu.

VUTA-NKUVUTE said:
".....Mwenge huo unapofika
Rombo-Kilimanjaro
hufanyiwa tambiko mbalimbali ili kulinda viongozi wa nchi."

kweli kiswahili kigumu, neno "unapofika Rombo-Kilimanjaro" maana yake ni kwamba pengine mahali huo mwenge umetoka.
napata wakati mgumu kuamini kuwa umeshindwa kushirikisha ubongo wako kudadavua huo msamiati
 
Cardinary Pengo,Maaskofu mapadre,wachungaji kama kina Mwingira,Mzee wa upako,kolola,na wengine wengi ambao mnaanza na utumishi wa Mungu,Shehe mkuu wa Tanzania Simba wanamapinduzi wa kiislamu kama Ponda na kikundi chako waumini wa dini zote kasoro wapagani kwanini mmekaa kimya wakati taifa linapokea laana ya Mwenyezi Mungu kila mwaka kwa kulipeleka kwenye madhabahu za shetani anayetembea kuabudiwa na kusujudiwa na CCM aitwaye MWENGE WA UHURU.

Wakati anaambukiza ukimwi watu wetu, anawatesa wazazi wetu huko vijijini na kusimika viongozi mashetani katika taifa hili?Hivi mmewahi kujiuliza kwanini taifa hili haliendelei?Ni laana zitokazo kwa mungu wa Ccm itwaye mwenge hivyo kama kweli mnalitakia mema taifa hili Hubirini waumini wenu wakatae ibada ya mungu-mwenge na kasisi wake Ccm ili tuokoke na balaa hili!Wabilah tofiq asalaam aleykum wallahmatullah wabarakat!Atukuzwe baba na mwana na roho mtakati Aaaaaamen!!!!
 
Kwanini uwe mjinga? Kwanini usitumie akili? Kwanini ufikirie kuwa kunamashetani?
Mwenge wa Uhuru haunaconnection na imani ya aina yote.
Halafu baadae utasema kumpigia saluti raisi ni kumuabudu.
Dhana ya mwenge wa uhuru ni kuwamulika wanyonyaji wote na kuleta mshikamano.
Hivi umezaliwa mwaka gani vile?
Ondoa imani potofu ndani ya akili zako.
Kwani wazee kuchinja mbuzi au kondoo ndio kuabudi mashetani?
Hiyo ni ishara ya furaha na Mlima kilimanjaro ndio mrefu kuliko yote Africa.
 
Hauna jipya zaidi ya kuabudu mashetani. Kuna taarifa rasmi kuwa Mwenge huo unapofika Rombo-Kilimanjaro hufanyiwa tambiko mablimbali ili kulinda viongozi wa nchi.

Taarifa zinaonesha kuwa kuna Wazee maalum wameandaliwa kule Rombo kwa ajili ya matambiko haya kila mwaka.Mmoja wa wazee hao aitwaye Mzee Malamsha amenithibitishia hicho.

Kwenye matambiko hayo,kafara hutolewa.Na kadhalika na kadhalika.Ndio maana,kila mwaka Mwenge wa Uhuru lazima ukimbizwe Mkoa wa Kilimanjaro na kufika Wilaya ya Rombo.

Mwenge huu ni wa kuupiga vita. Unaleta laana zaidi ya baraka. Unatubakisha kama nchi kwenye kuabudu mizimu badala ya kusonga mbele kimaendeleo.

Laana za Mwenge huu ndizo zinazotufanya tusieendelee. Ni muda sasa wa kuachana na imani hizi za kishirikina kwa kuachana na Mwenge huu.

Jaribu kuweka thread ya maana kama huna wacha,ila upuuzi huu hakuna atakayeuamini,Rombo wana matamiko gani ya kuweza kuleta laana kwa nchi,siamini kuwa mtu mzima jiamini.
 
Kwanini uwe mjinga? Kwanini usitumie akili? Kwanini ufikirie kuwa kunamashetani?
Mwenge wa Uhuru haunaconnection na imani ya aina yote.
Halafu baadae utasema kumpigia saluti raisi ni kumuabudu.
Dhana ya mwenge wa uhuru ni kuwamulika wanyonyaji wote na kuleta mshikamano.
Hivi umezaliwa mwaka gani vile?
Ondoa imani potofu ndani ya akili zako.
Kwani wazee kuchinja mbuzi au kondoo ndio kuabudi mashetani?
Hiyo ni ishara ya furaha na Mlima kilimanjaro ndio mrefu kuliko yote Africa.

Tumefanywa mazezeta na huu unaoitwa mwenge. ndio maana jamaa wanakuja na kubeba kila kitu hapa nchini. Hapo zamani ilikuwa lazima shughuli zote zifungwe ili kila mmoja akauangalie huo mwenge unapopita. Mwenge huu ukizimika kwa bahati mbaya huwashwa kifichoni kwa nini????
 
Wewe dotto wewe ni muumini wa dini gani? naomba unijibu kabla wakuendelea ninayotaka kusema.
 
Dah! umenikumbusha mbali kishenzi, enzi hizo miaka ya 80 kweusi

Twakukaribisha mwenge mgeni wetu uringe.
Na wenyeji tukuchunge huku tukushangilia.
Kwetu ukitoka mwenge uendelee mahenge
Ila mwakani upange kuja kututembelea
 
Kwanini uwe mjinga? Kwanini usitumie akili? Kwanini ufikirie kuwa kunamashetani? Mwenge wa Uhuru haunaconnection na imani ya aina yote. Halafu baadae utasema kumpigia saluti raisi ni kumuabudu. Dhana ya mwenge wa uhuru ni kuwamulika wanyonyaji wote na kuleta mshikamano. Hivi umezaliwa mwaka gani vile? Ondoa imani potofu ndani ya akili zako. Kwani wazee kuchinja mbuzi au kondoo ndio kuabudi mashetani? Hiyo ni ishara ya furaha na Mlima kilimanjaro ndio mrefu kuliko yote Africa.
Kama moja yakazi za MWENGE nipamoja na kuwamulika WANYONYAJI,basi kuna umuhimu wa kuongeza utambi mwingine ili mwanga uongezeke! lakin kwa huu uliopo umeshindwa kabisa kuwamulika wanyonyaji.Tanganyika imejaa viongozi wanyonyaji inakuwaje MWENGE hauwamuliki badala yake unawamulika watu wasio kuwa na hatia kama Mwangosi?
 
Back
Top Bottom