Baadhi ya madereva wa usafiri huu wanatajwa kuwa ni miongoni mwa wale wasiozijua au wanaozivunja sheria za usalama barabarani hata kusababisha maafa kwa abiria na watumiaji wengineo wa barabara...
ASILIMIA 24.9 ya watanzania huvutishwa moshi wa tumbaku katika sehemu za kazi hivyo kuchangia kuongezeka kwa wagonjwa wa saratani nyingi hapa nchini.
Hayo yamebainishwa kwenye taarifa...
Hivi kuna maduka unaweza enda na kukopa vitu kama hivyo? Maana mtu unaweza kuwa unatamani uwe na tv Uhd lakini kutoa 2m cash ni maumivu. Au ukatamani friji ya 1m lakini huwezi lipa cash sababu...
Jeshi la polisi mkoani Rukwa linamshikilia askari wake aliyetajwa kwa jina la Prudence Michael kwa kosa la kuendesha gari la polisi kwa uzembe na kumgonga mtoto Brighton Apollo na kusababisha kifo...
Bei ya mahindi mkoani Rukwa imeshuka kutoka Shilingi laki moja na elfu kumi hadi kufikia shilingi Elfu hamsini na tano kwa gunia kutokana wanunuzi wa zao hilo kutoka mikoa mingine kupungua kwa...
Mwalimu wa Shule ya Msingi Mwamdala iliyopo kijiji cha Igudi, tarafa ya Igalula, Juma Masanja (28), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya wilaya ya Igunga kwa tuhuma za kumbaka binti wa miaka...
Dar es Salaam. Kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kujeruhi inayomkabili Salum Njwete (34) maarufu Scorpion, imeshindwa kuendelea kutokana na shahidi kushindwa kufika mahakamani kutokana na...
Habari za humu ndani siku ya leo katika pitapita zangu nikakutana na makala inayoelezea wilaya ambazo zinazoongoza kutoa maprofesa na madokta(PhD) Tanzania.
1. Wilaya ya UKEREWE mkoani Mwanza...
Nimeamua kuandika haya ili kukumbushana machache yanayoendelea kwa sasa.
Kwanza nawatakia waislamu wote mfungo mwema wa Mwezi mtukufu wa ramadhani, ni pongezi kwa kila aliyefunga.
Ila katika...
Jeshi la Polisi mkoani Singida linamshikilia msichana wa miaka 21 kwa kuchoma nyumba moto na kuhatarisha maisha ya wapangaji zaidi ya saba kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi.
Chanzo: ITV
Mwanamke mkazi wa Kijiji cha Mahembe, Wilaya ya Kigoma,Bibi SIYAJUI ALMAS, amenusurika kifo baada ya mume wake aitwaye, MAGURU SHABANI, kumkata kwa kisu shingoni kwania ya kumuua kutokana na wivu...
Wasalaam!
Ni muda sasa sijasikia chochote kuhusu VITAMBULISHO VYA TAIFA sijui vimefikia wapi ndugu zangu, au nyie mlishapata...??? Mwenye taarifa, uelewa au ufafanuzi wowote tafadhari.
NAWASILISHA.
Wanaoleta nyuzi za kiusalama huwa wapo sampuli kama 3 hivi.
1. Mwanachama wa chama cha kisiasa(wandani kabisa, yaani anaijua itikadi vizuri,huwa ant gov)
2. Mwanausalama mwenyewe (hii ni kwa...
Haya matukio ya ukamataji wa vijana wanaokosoa serikali mitandaoni inalichafua Jeshi la Polisi na Raisi wa nchi yetu! Nani anawatuma hawa wakamataji?
Tunaacha kuwakamata wahalifu wanauawa raia...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inavikumbusha vyombo vya habari vya utangazaji nchini kufuata na kuzingatia Sheria na Kanuni za Utangazaji zinazoiongoza sekta kwa manufaa na ustawi wa nchi...
Askari wawili wa nyota 3, majina yao ni Sindani na Jafari wanadaiwa kumpiga mpaka kumuua mfungwa anayeitwa Fred wakimtuhumu kuwa anauza madawa..
Hii ni mara ya pili mfungwa anauawa na maaskari wa...
Habari.
Kuna wizi hufanyika kwenye ATM,ambapo mtu anaweza kukusaidia au kukuelekeza atm inayotoa hela ni ile au anakuambia umpe kadi yako akusaidie kuweka,ukimpa anakubadilishia alafu anakuambia...
HABARI ZENU WANA NDUGU:
SERIKALI YA WANAFUNZI IFMSO INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA RAFIKI YETU/NDUGU YETU JANETH KIWALE WA ACCOUNTS MWAKA WA TATU. AMEFARIKI SIKU YA LEO trh 18/05 MAJIRA YA SAA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.