mtafiti05
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 956
- 593
Kwanza poleni, mwaka Jana tarehe 30.05.2016 waliripoti kazini na June 2016 zilisitishwa ajira zao kupisha zoezi la UHAKIKI watumishi hewa na vyeti fake,
Mwezi 4. 2017 walipigiwa Simu kuulizwa kama wapo tayari kurudi kazini wakajibu wapo tayari halafu ikawa kimya tena, leo tena wanapgiwa Simu kuulizwa kama wapo tayari Kurudi kazini
Kwa mara nyingine tena swali lile lile je NI KUWASANIFU AU KUWAPA PRESURE TU LAKINI UKWELI NI KWAMBA HAWAWARUDISHI? MAANA BADO HAWAJAAMBIWA LINI WARIPOTI WANAAMBIWA WAJIANDAE TU, HATA YESU ALISEMA ATARUDI LAKN MPAKA LEO ANASUBIRIWA,
Wengne (wahanga ajira Mahakama mmepgiwa Simu)? Au mchezo unafanyika? Kesho tarehe 01.06.2017 wanakamilisha mwaka toka wasaini mkataba ulioanza 01.06.2016! Hivyo kesho happy birthday ya mkataba! Poleni lakn wapendwa,
Chanzo: Dogo kapigiwa Simu nae ni mhanga tena sasa hivi mgonjwa wa mawazo 1 haikai na 2 haisomeki, mi sio muhusika Tafadhali hivyo wahusika mje hapa mseme na tuwapongeze na kuwapa pole kumalza mwaka!