sanchez255
Senior Member
- Jun 9, 2015
- 171
- 312
Kuna utapeli upo unaendelea kwenye mitandao.. Kuna watu wanajifanya wanauwezo wa kuwaingiza vijana kwenye mafunzo ya jkt huku wakiomba watumiwe pesa.. Hapa mtaani kwetu kuna mama katapeliwa leo na mtu anaejifanya anamfahamu, katapeliwa kwa njia ya kupigiwa simu.. mama kapigwa sound mpaka kaelewa.. kaambiwa atume laki 3 vijana wake waingizwe mafunzoni! kuja kushtuka katapeliwa!!
Pia kuna hii msg inasambaa sana
Ombi langu kwa mamlaka husika wachukue hatua
Pia kuna hii msg inasambaa sana
Ombi langu kwa mamlaka husika wachukue hatua