PowerWithin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2014
- 646
- 501
Wadau wa ujenzi njooni hapa tupeane uzoefu katika ujenzi, mfano namna ya kuepuka kreki kwenye nyumba, wapi wanakouza vifaa vya ujenzi kwa bei nafuu, na kadhalika.
Karibuni!
Karibuni!