Wamiliki wa Phamacy, Bar, na wafanyabiashara wa Bidhaa mbalimbali hii software inawafaa sana sana

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,400
Kwa wale wafanyabiashara wa phamacy, Bar na bidhaa mbalimbali nawaletea software ambayo ndio itakuwa suluhisho la kujua sales, profit, received item nk...

Ni very easy, na mhudumu wa counter, muuzaji wa dukani atakuwa na access katika kuingiza mauzo tu, then monitoring anakuwa nayo meneja au mmiliki wa biashara..

Nb: kwa taarifa zaidi njoo inbox..
 
Sasa Kama umeitengeneza mwenyewe unashindwaje kuiprotect?

Shuka vitu Ili tukija pm tujue tunakuja kufanya nn
Nafkiri hujaelewa... Huyo mdau kaniuliza kuwa "Hujiamini" akiwa na maana ya kujiamini kwa kuamini watu ninaofanya nao bussness in a normal way

Pili, katika dunia hii ya utandawazi kuwa na tools kama hizo zinarahisisha kazi ili hata kama ukiwa Posta au Dodoma biashara zako zinaendelea na unaweza kuzimonitor vizuri sana
 
Bado maelezo yako hayatoshi mkuu. Elezea hapa inafanyaje kazi. Kinatakiwa kitu gani. Ile framework tu ya kushawishi wateja kila kitu sio siri na kama umeitengeneza mwenyewe nina uhakika unajua kabisa sehemu za kuficha tunaita trade secrets lakini sio kila kitu kwenda PM mkuu.

Niko na bar na nna interest ya hio software ila siwez kuja PM kwa maelezo haya
 
Usiogope Mkuu... Njoo inbox, tupange siku tukutane kama Uko Dar, nikupe Training jinsi ya kuitumia, then key password

Then payment zangu
 
Bado maelezo yako hayatoshi mkuu. Elezea hapa inafanyaje kazi. Kinatakiwa kitu gani. Ile framework tu ya kushawishi wateja kila kitu sio siri na kama umeitengeneza mwenyewe nina uhakika unajua kabisa sehemu za kuficha tunaita trade secrets lakini sio kila kitu kwenda PM mkuu.

Niko na bar na nna interest ya hio software ila siwez kuja PM kwa maelezo haya
Asante kwa kumsaidia kuelewa maana yangu, naona anapuyanga Tu dadeq
 
Hiyo software inafanyaje kazi? Inaweza ikasaidia pale mhudumu anapoingiiza mzigo wake na kuchanganya na biashara yako na wewe ukawa unakuta hesabu ya stock yako iko sawa? Bei yake ikoje?
 
Yani kuna mambo ya msingi ya kuelezea kwa uwazi kapata tangazo la bure humu hata guest user akigugo anakuja kwenye uzi wake anapata maelezo ya awali ndo kufwatia PM ila anaficha hata bei???biashara gani hio kama tunauziana viungo vya albino
 
Uko sahihi Mkuu..... Moja ya function yake ni kuzuia huo usanii wa wahudumu...

Bei maelewano Kamanda
 
Yani kuna mambo ya msingi ya kuelezea kwa uwazi kapata tangazo la bure humu hata guest user akigugo anakuja kwenye uzi wake anapata maelezo ya awali ndo kufwatia PM ila anaficha hata bei???biashara gani hio kama tunauziana viungo vya albino
If you need bussness njoo chemba kamanda.... Seriuos people washaanza kuja na kwa hakika baada ya siku chache watakuja na mrejesho humu
 
Tupe Trial Version, tukiipenda tutanunua
Kuna baadhi ya Bar, na Hardware Tegeta nishazifanyia majaribio. Wameikubali, na kusema kweli walichelewa... If you need naweza kukupa majina kwa ridhaa yao ili uwatembelee pia uone urahisi wake na uzuri wake....

Or kama uko interested tunaweza kuonana ili nikupe Training..... It is the classic Mkuu
 
Back
Top Bottom