Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu heshima kwenu! Naomba niende moja kwa moja kwenye maada kwa yeyote anayeweza nisaidia Ustadhi (Shekhee) ambaye atanisaidia kunifanyia dua kwa ajili mambo yangu sababu mambo kibao yamekwama...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mchungaji Anthony Lusekelo (kulia) alipomtembelea leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma. Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
KIONGOZI WA MWENGE APONGEZA KIWANDA CHA BIDHAA ZA NGOZI KINONDONI Mwenge wa Uhuru upo Jijini Dar es Salaam kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo, ambapo siku ya leo Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
TAARIFA KWA WANA KINONDONI Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mheshimiwa ally hapi anawaalika wananchi na wakazi wote wa Wilaya ya Kinondoni kushiriki kwenye mapokezi ya Mwenge wa Uhuru yatakayofanyika...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeenda kupima afya hasa ukimwi nikiwa na mke wangu. Hapa jijini Dsm. Nikiwa kwenye foleni watu wa4 kabla ya kumfikia daktari, kijasho chembamba kikaanza kunitoka, mapigo ya moyo yakaanza kwenda...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimeamini hakika kuwa siasa ni imani na ili uwe muumini wa dini fulani au mwanachama wa chama fulani lazima kwanza muhubiri wa imani hiyo ashughulike kwanza kuharibu sehemu ya akili yako...
0 Reactions
1 Replies
764 Views
Si bora mfunge maduka kama hamtaki kutuuzia mbona siye kipindi cha Kwaresma hatukuwabagua.
0 Reactions
183 Replies
18K Views
Ninavyojua ni kwamba; ili kitu kiwe official kuwa huu ni wizi lazima Mahakama ihakikishe yaani iprove pasipo na mashaka yoyote. Kwa mfano nikija nyumbani kwako nikachukua kitu fulani haimanishi...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Unapomwambia mama mjamzito kuwa una mapacha you need to be careful because some phenomenon can read to the loss of one twin!!you need to confirm with either an experienced radiologist or if you do...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wañasaikolojia nsaidieni kwa nini jitu linaweza liwe linatukana halioñi aibu ila nyie wengine ndio mnaona aibu?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jana ilitangazwa kutenguliwa kwa uteuzi wa mkuu wa polisi Tanzania, Ernest Mangu na ikaelezwa kuwa atapangiwa kazi na majukumu mengine. Kwa mtu aliyeshika nafasi ya IGP hii ndio nafasi ya juu...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu watanzania,naamini ni siku nzuri poleni na stress mbalimbali kuhusu maisha ila yote ni katika kuhakikisha maisha yanasonga mbele. Nimekuja na mada apo juu tuweze kushare mawazo...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kuanzia jana juma tatu 29/5/2017 kumekuwa na maadhimisho ya hii siku maalumu kwa dada zetu lakini sijaona uzi ukizungumzia hii siku humu jf au tulitaka kufunika kombe mwanaharamu apite? Sasa kombe...
0 Reactions
24 Replies
13K Views
Habar Ninaitwa Faraji Aboubakary Fadhili. kijana (ME) 24 Kuna mambo nimekuwa ninawaza, kama kijana nina ndoto na malengo kwa mustakabali wa maisha yangu nina miaka 24 lakini najiona kama...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mwanamume mmoja mkazi wa Ndofe wilayani Nyamagana mkoani Mwanza amemfanyia kitendo cha ukatili mtoto wake kwa kumkata na kisu sehemu za makalio kwa madai ya utoro shuleni. Kamanda wa Polisi Mkoa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Katika ngazi za uongozi, madaraka(cheo) ni ngazi ya chini sana kwakua mtu unaweza kuwa kiongozi bila madaraka. Lakini huwa ndio ngazi ya kuanzia kwa viongozi wengi. Madaraka ni nafasi tu ya...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Hakuna asiyejuwa kwamba pamoja na madhaifu mbalimbali Kwa watendaji Wa ofisi za umma, wapo ambao kiukweli hujitahidi kuhudumia vizuri kiasi kwamba hadi Mteja mwenyewe unaweza shawishika kutoa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Aisee halotel kiboko nimewakubali watu wangu wa halotel ni kiboko juu shida kwa mastory ya hapa town masela Halotel mmetisha achen tigo na voda wajikongoje tena watasubili sana kwa kas hii kas...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habarini za sasa hizi ndugu zangu nadhan hamjambo na tabasamu feki tena za kujilazimishaaa Waungwana Mimi ni mwana art mwenzenu ambaye nimemaliza chuo mwaka 2015... Nilipambana kweli kufika hapa...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Mungu baba wa mbinguni nakushukuru sana sikuzaliwa china ama south east Asia. Chakula gani tena hiki sasa? Hivi kweli mmekosa kitu cha kula mnakula madudu yakitembea?
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom