Kinga kingdom
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 769
- 846
Habari wakuu!!
Katika dunia tuliyopo tumejikuta tunazungukwa na watu weeeengiii wa aina na mitazamo mbali mbali, kibaya zaidi tabia nazo zimekuwa changamoto!!!
Kutokana na uwingi wa watu tumejikuta tuna jaribu kubwa la kukabiliana na watu tunao ishi au kuzungukwa nao!!!
Mambo yafuatayo yamekua ndio changamoto katika dunia hii
1:mateso unayopitia leo hii yamesababishwa na mtu au watu fulani
2:watu hupenda kujadili mambo yako katika ubaya zaidi na sio uzuri wako
3:kila anaishi au aliyekaribu nawe hukupenda kutokana na upande wa mzuri tu,kama unabisha hata mpz wako ukikosea eneo fulani hatokusaidia atakukimbia,
ANGALIZOUNIA HII NI YA MAZURI NA MABAYA-UKIWA BIZE KUTAFUTA MABAYA YA MWENZIO JITAHIDI PIA KUTAFUTA MAZURI YAKE
IKIWA UNAZUNGUKWA NA WATU WANAOKUWAZIA MABAYA TU MAKE SURE UNATEMANA NAO KWANI WATAKUCHOSHA.
HATA KWENYE MAPENZI KUNA WAKATI WA KUKOSEANA NA KUREKEBISHANA,SO UKIONA WATU WANAOKUWAZIA MABAYA TU HAO NI WACHAWI NA UWAOGOPE!!!!!!
KINGA-KINGDOM