wolf5100
Member
- Apr 9, 2016
- 58
- 26
Wakuu mimi ni mfantabiashara ninaagiza vifaa vya ujenzi nakuuza.Lakini pia ninategemea kuvuna ngano na kuexport.
-Ninapata dollar kadhaa.Nahitaji mnifahamishe benki bora kwa akaunti ya us dollar.Kwa sasa nina akaunti ya dollar barclays.Nataka kujua na crdb bank kwa wazoefu wazoefu.Naogopa kuhusu Telegraphic Transfers manake benki zingine kufanya telegraphic transfers mpaka mshikane nashati.