Viondozi ACT wazalendo mkoani kigoma wajiunga CHADEMA

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,235
16,205
Kwa kile kinachodaiwa ni kutokukubaliana na mwenyekiti wao kuwa mkuu wa mkoa na kukabidhiwa ilani ya ccm viongozi wa ACT kigoma wamejiunga na CHADEMA na wengine kustaafu siasa kabisa Nini maoni yako
817a8b32ad6d22ba41e1c63361a2ba86.jpg
347ed47789ee7347b07f92c64e757eff.jpg
 
Wameshituka mapema..hakuna chama hapo ni wachumia tumbo hao..kwa staili hii atabaki zitto na wanafiki wenzake.
 
Kwa kile kinachodaiwa ni kutokukubaliana na mwenyekiti wao kuwa mkuu wa mkoa na kukabidhiwa ilani ya ccm viongozi wa ACT kigoma wamejiunga na CHADEMA na wengine kustaafu siasa kabisa Nini maoni yako
817a8b32ad6d22ba41e1c63361a2ba86.jpg
347ed47789ee7347b07f92c64e757eff.jpg
Acha kupotosha watu ww hizo picha si z kigoma bali n mbeya mjini tna zilipigwa wakati w uchaguzi2015
 
nilifikiri ndio watampima aliekuwa mwenyekiti wao mama anna kama anaweza kuongoza vyema lkn ndo wanakimbia! ha ha ha!... siasa inahitaji waelewa sio walelewa!
 
Na katika matokeo yake ya Urais ya 2015 Kigoma iliongoza zaidi ya mikoa yote (kwenye figure hapo chini Kigoma hipo kati ya Katavi na Kilimanjaro).

upload_2017-6-8_12-33-29.png

Source: Mwananchi Communication Ltd, 2015
 
Kigoma ni wapinzani wa kweli, tatizo ni kuwa wananchi hawa hawajawahi kupata Kiongozi madhubuti, wengi wamekuwa wakiwaangusha.
 
Back
Top Bottom