Wakuu.
kuna jambo linatia shaka kuhusu RL hivi hii ipo kwa manufaa ya nani?
kama ipo kwa ajili yetu.ili kuliongezea taifa pato mbona inapotoshwa makusudi?
Hivi ni kweli wahusika hawaoni kuwa...
kuna hii hali ya vituo vingi vya afya kulazimisha wamama wajawazito wanapoanza clinic kwenda na waume zao.eti kama hutaki hupati huduma
je kama nimebakwa? kwani wote wenye mimba wameolewa ? huu...
Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni madereva bodaboda wa mjini Kahama wamekutwa wakiwa wamekufa katika Shamba la miti linalomilikiwa na mkulima, Marco Nkuli katika eneo la Nyakato wilayani Kahama...
EWURA imepokea maombi ya IPTL kuongeza mda wa leseni kwa miezi 55, kuanzia tarehe 16 Januari 2017 hadi 15 Julai 2022.
Naomba ieleweke kwamba leseni ya kuzalisha umeme hutolewa na EWURA kulingana...
Habari wakuu?
Kwa muda mrefu humu JF kila kila nikirefresh katika ukumbi wa New post threads za mwanzo kutokea ni ile ya makapuku na ile ya kubet, je hii inamaanisha waTanzania wengi ni...
Dar es Salaam. Makamu wa Rais, Samia Suluhu amesema kamwe Serikali haitagawa chakula kwa wananchi wavivu ambao hawataki kufanya kazi na kusubiri chakula kutoka serikalini.
Samia ametoa kauli hiyo...
Naunga mkono kauli ya Mh. Magufuli wakati akimwapisha kamanda sirro ya kuwa afanye 'total overhaul' ya jeshi la polisi. Kwa kusema hivyo naamini pia alikuwa anamaanisha jeshi lifanye kazi kwa...
Kumeibuka tabia sasa waendesha BAJAJI wana-park bajaji zao barabarani hasa sehemu zenye vituo vya mwendokasi (mfano hapa Kimara Korogwe).
Matokeo yake bajaji zinasababisha gari zitumie njia moja...
Kuna Kampeni moja ambayo naweza kusema ni ya Kipuuzi / Kiupupu inayoendelea katika Shule ambayo ni ya kuwasaidia Wadogo zetu wa Kike kwa kuwapa Taulo zao za Kike ( Sanitary Pads / Sanitary Towels...
Wakuu kama nyota hapo inapojieleza mimi pia nimezaliwa kati ya miezi hiyo....Inawezekana kweli sijatoboa kisawasawa kwa kutokuwa na tabia ya kuhonga.....!!! Tuliozaliwa kati ya hiyo miezi vipi...
Narudia hii ni hatari sana,inaweza kufunga watu jela waio na hatia,kuvunja ndoa na kubwa zaid kufunga wanasiasa kama kawaida ilivyo kwa nchi za Kiafrika
Mimi kiukweli sina Imani na nchi yetu...
Mtafiti mmoja huko Massachusetts Marekani ya Kaskazini ( jina lake limehifadhiwa ili kumlinda kutoka kwa wale ambao watapovuka na utafiti wake huu ) ambaye ni Mtaalam pia wa masuala mazima ya...
Mamlaka ya udhibiti wa Huduma za nishati na maji -EWURA imetangaza ongezeko la bei za Mafuta ya Diesel na Petroli kuanzia 7 Juni 2017.
Kauli hiyo imetolewa na Meneja uhusiano wa Ewura Titus Kaguo...
Huu ni ukosefu wa umakini kwa chombo husika, kuna makosa ya kibinadamu na makosa ya kimtandao kwa vyombo vyote viwili baraza la mitihani na TAMISEMI. Kwanini hawataki kuchukua jukumu la kubeba...
Hbr Zenu Jf.Leo Kuna Baridi Kali Sana.Jamani Kuna Baadhi Ya Watu Wanapenda Kujipendekeza Kwa Watu Wenye Pesa Ili Wasifiwe Hata Ndugu Saa Nyingine Huchafuana Kwa Mwanandugu Mwenye Uwezo Ili Wao...
Dunia - Rules of the game:
1. Dunia ni mapito.... kila nafsi itaonja mauti-
2. Tenda wema upate kuishi miaka mingi zaidi...
3. Wape haki zao wanaokuzunguka......usithubutu kuipoka haki ya...
Hii nimeiona kwa baadhi ya wachungaji akiwemo Rwakatale, Gwajima, Davie na yule wa Sloan. Lakini wakati mwingine hawa wachungaji ukiwakuta mitaani wanakuwa hawana ulinzi wowote, je pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.