Mkuranga: Kuna ajali ya Basi imetokea Mwanambaya

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,485
Kuna ajali imetokea maeneo ya mwanambaya mkuranga,basi limeacha barabara na kupinduka lakini mpaka sasa hakuna taarifa ya mtu yeyote aliyefariki katika ajali hiyo.

"Tumepata ajali muda huu maeneo ya Mwanambaya Mkuranga,Tukiwa tunatoka Mtwara. Basi yetu imepinduka muda huu Ila wote tuko vizuri Mungu ni mwema."

Ajali hii imetokea jana jioni.
FB_IMG_1496904908546.jpg
FB_IMG_1496904897727.jpg
FB_IMG_1496904888953.jpg
FB_IMG_1496904875373.jpg
 
Limepinduliwa au limepinduka? Fuatilia taf. tupate taarifa zaidi
 
Basi gani hilo mkuu,maana wababe Wa njia hiyo (kilwa road) ni kina maning nice, buti la zungu, wifi nae, machinga bus, n.k
 
Kuna ajali imetokea maeneo ya mwanambaya mkuranga,basi limeacha barabara na kupinduka lakini mpaka sasa hakuna taarifa ya mtu yeyote aliyefariki katika ajali hiyo.

"Tumepata ajali muda huu maeneo ya Mwanambaya Mkuranga,Tukiwa tunatoka Mtwara. Basi yetu imepinduka muda huu Ila wote tuko vizuri Mungu ni mwema."

Ajali hii imetokea jana jioni.
View attachment 521155 View attachment 521156 View attachment 521157 View attachment 521158

Watanzania ni watu wa upendo sana. Laiti kama tungepata serikali inayochochea huo upendo badala ya kutufitinisha, bila shaka tungelikuwa kituo cha amani duniani!.

Unaona watu wanavyosaidiana kwa moyo mweupe bila kujali kwamba wapinzani ni maadui!.

Mungu saidia nchi yangu.

Ninamshukuru Mungu kwa kuwaponya wote waliopata ajali.
 
Back
Top Bottom