Tahadhari tu, usichanganye kuna mashine zinazo print label zenye barcode na mashine za kusoma barcode.Kuna vi printer flani vidogo vinatumika kutoa hizo barcodes.Niliona kamoja pale Nakumatt
Mashine za kusoma barcodes zinaitwa BARCODE SCANNERTahadhari tu, usichanganye kuna mashine zinazo print label zenye barcode na mashine za kusoma barcode.