Muhimu::Wapinzani haswa Chadema kuweni makini na hili

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,885
4,012
Nafikiri mnakumbuka lile sekeseke la sms 2010 tukaambiwa kuna mtambo umeletwa toka Israel,ya kwamba kuna uwezekano ukatumiwa SMS na namba fulani labda ya kutishia kukuua au kukutukana kumbe hukutuma lakini namba inasoma yako,sakata likaishia juu kwa juu baada ya kuonekana kama halina madhara kwa chadema.
Sasa angalia ufahamu wa 2010 na 2015,pamoja na kwamba technology imekua ila trust me,kisaikolojia na kiafya ya akili,watanzania wa kikwete wana hali njema kuliko hawa wa sasa hivi maskini ya Mungu,daaaah
Mfano ni hili Igizo la juzi la sauti za kutengenezwa za Mbowe na wema eti mpaka kuna watu wakaanza kushangi lia ,kama kuna maboya waliamini hilo je sms itakuwaje?
Kuna websites zinatoa hiyo option ya kuttuma spoof sms,ni hatari sana kwa mfanohttp://www.sendanonymoussms.com/
najiuliza sana kwa mazingira ya nchi yetu haswa polisi wakikazania kwamba tuna ushahidi wa sms maskini ya Mungu sijui utajiteteaje na hapo ndo ukute wewe ulikuwa unatafutiwaga angle

smsss.JPG
 
Back
Top Bottom