figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
WANNE WAKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA JIJINI MWANZA
Mnamo tarehe 07/06/2017 majira ya saa 11 alfajiri katika mtaa wa Mbugani “A” kata ya Mbugani wilaya ya nyamagana mkoani Mwanza, askari wakiwa kwenye doria na misako waliofanikiwa kuwakamata watu wanne waliofahamika kwa majina ya
1. THOMAS ZACHARIA, MIAKA 25, MKAZI WA MTAA WA UNGUJA – MWANZA,
2.ALLY ATHUMANI MIAKA 35, MKAZI WA KAHAMA -SHINYANGA,
3.NYAMURYA ELIA, MIAKA 35, MKAZI WA MTAA WA UNGUJA – MWANZA,
4.STANSLAUS MAPINDUZI ELIAS MIAKA 41, MKAZI WA TARIME.
Wakiwa na dawa za Kulevya aina ya mirungi mafungu 57, yenye kiasi cha kilogramu 56.75, yakiwa yamewekwa kwenye mabegi na magunia , kitendo ambacho ni kosa la jinai.
[HASHTAG]#michuzijr[/HASHTAG]