Msaada wa kufika Law School

Panda magari ya SIMU2000 a.k.a MAWASILIANO...
Ukishuka kituoni toka nje ya kituo kisha kunja kushoto, fuata hiyo barabara mpaka ufike mahali inakunja kulia (zinapita daladala) na nyingine kushoto... Fuata ile ya kushoto tembea nayo weeeee mpaka utaliona geti la TLS upande wako wa kushoto...

Yaani FULL MASHOTO mpaka unafika.....

Mapendo.
 
Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom