Kodi ya majengo imezidishwa kutoka 10000 kwend 15000 na kam ulikua na malimbikizo ya nyuma yote kufutwa (pamoja na riba) na unatakiwa ukalipe kodi ya majengo kabla tar.30/06/2017 bila hivyo tax recovery measure itahusika kwa gharama zako.
Viwanja havijapimwa lakn unaletewa deni la nyumba, nyumba haina no lakn unadaiwa jaman serikal tuoneeni huruma pimeni na kutoa hati tujue na kuwa na amani kulipia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.