Tanzania yashika nafasi ya tano kwa idadi kubwa ya watu Afrika

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,296
Dodoma. Imeelezwa kuwa Tanzania ina wastani wa ongezeko la idadi ya watu la asilimia 4.7 kwa mwaka na kwamba hadi kufikia Machi mwaka huu ilikuwa na jumla ya watu 48.6milioni huku asilimia 30 ya watu hao wakiishi mijini.

upload_2017-6-8_12-20-22.jpeg

Akiwasilisha hali ya uchumi bungeni Dodoma leo Alhamisi, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema idadi hiyo ya watu inaifanya Tanzania kuwa nchi ya tano Afrika kwa kuwa na idadi kubwa ya watu baada ya Nigeria, Ethiopia, Misri na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

Dk Mpango amesema Tanzania ina wastani wa ustawi wa watu wa asilimia 0.521 na kuwa nchi ya pili kwa ustawi mzuri Afrika Mashariki baada ya nchi ya Kenya ambayo ina wastani wa ustawi wa asilimia 0.555.

“Serikali inajitahidi kuboresha huduma za jamii ili watu wasikimbilie mijini, kwa mfano huduma za ufundi stadi zimezidi kuimarika na kuwawezesha wananchi kujitegemea wenyewe katika maeneo yao,” amesema Dk Mpango.

Mpango amesema kufikia Machi mwaka huu, watu milioni 22.9 walikuwa wanapata maji safi ikilinganishwa na watu milioni 21 waliokuwa wakipata huduma hiyo hadi Juni 2016, ikiwa ni ongezeko la watu zaidi ya milioni moja.

Chanzo: Mwananchi
 
kwa hiyo pamoja na watu wengi kukimbilia South Africa lakini hatukuwapita wasouth kwa idadi! hii ni shida
 
Wajuzi wa mambo ya takwimu naomba mnieleweshe kabla NYUMBU ORIGINAL hawajaanza kushangilia tukashindwa hata kuelewana.

Wanaposema ongezeko la watu wanaopata maji safi, wanamaanisha mtu mmoja mmoja au kaya? Kama ni mtu mmoja mmoja, wanamhesabu mtoto aliyezaliwa katika kaya ambayo tangu awali ilikuwa ikinywa maji safi au wanahesabu idadi ya vijiji na miji vilivyofikiwa na huduma ikiwa awali haikukuwepo?
 
tz.jpg

Chanzo: Muungwana Blog
 
Ukiwa na ongezeko la watu huku likiendana na ongezeko kubwa la ujinga ujue nchi inaelekea kwenye matatizo makubwa!
 
Tunahitaji..depopulation policy mapema iwezekanavyo..mana tunakoelekea huu utakua ni mzigo mkubwa kwa nch i..tuweke limitations ya uzazi..hii ni kutokana na ubashite wa asilimia kubwa ya wananchi pia resources scarcity.
 
Wajuzi wa mambo ya takwimu naomba mnieleweshe kabla NYUMBU ORIGINAL hawajaanza kushangilia tukashindwa hata kuelewana.

Wanaposema ongezeko la watu wanaopata maji safi, wanamaanisha mtu mmoja mmoja au kaya? Kama ni mtu mmoja mmoja, wanamhesabu mtoto aliyezaliwa katika kaya ambayo tangu awali ilikuwa ikinywa maji safi au wanahesabu idadi ya vijiji na miji vilivyofikiwa na huduma ikiwa awali haikukuwepo?
Unastahili kuitwa GREAT THINKER.

Iko ivi. Wanaangalia ongezeko la eneo ambalo awali halikuwa limefikiwa na huduma za maji. Kisha wanachukua idadi ya watu waliopo kwenye eneo lililoongezeka na kujumlisha kwenye idadi ya watu wapatao maji ya awali
 
kwa hiyo pamoja na watu wengi kukimbilia South Africa lakini hatukuwapita wasouth kwa idadi! hii ni shida
Tanzania ni ya sita baada ya south africa

Takwimu zote zinasoma south africa ina population kubwa kuliko tz,nashangaa hii ya waziri mpango alipoitolea
 
Back
Top Bottom