Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Samahan kama swali litamkwaza yoyote,ila nataka kujua tu.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii nimeiona kwa baadhi ya wachungaji akiwemo Rwakatale, Gwajima, Davie na yule wa Sloan. Lakini wakati mwingine hawa wachungaji ukiwakuta mitaani wanakuwa hawana ulinzi wowote, je pale...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Kama mnavyojua hali saivi ni tete japo sio kwa wote... Kuna ka hela flani nmekapata sa nataka nikazalishe ili japo kupunguza njaa.... Pesa yenyewe ni 5M , mi nipo mkoani na wala sijawahi kufika...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Jamani Taifa letu linahitaji Maombi makubwa. Hili ibilisi shetani akae mbali nalo kabisa. Tusije kuwa kama Burundi, eee Mungu tusaidie sisi wana wa Nchi yako.
0 Reactions
1 Replies
938 Views
Katika kuonesha kwamba yuko serious na ishu ya mauaji na uvunjifu Wa amani unaoendelea mkoa wa pwani katika maeneo Hasa ya kibiti, mkuranga, jaribu, na maeneo mengineyo. Leo 06 /06/2017 Amekwenda...
3 Reactions
64 Replies
10K Views
-Ukitaka mtu akuchukie sio tu JF hata mtaani, pinga vikali kile anachodhani ni sahihi... -ukitaka matusi au kejeli nenda kinyume na kile ambacho wengi wanadhani ni sahihi... - kuna jamaa...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
NB; Askari wakiwa wameubeba mwili wa marehemu Luhende Lusangija. Mwanamume aliyefahamika kwa jina la Luhende Lusangija (34) mkazi wa Mwinamila Kata ya Ngokolo, Manispaa ya Shinyanga amekutwa...
2 Reactions
42 Replies
8K Views
Daaah, kiukweli usaliti ni kitu kibaya sn. Sipati picha siku huyu mama akiwa anapiga makofi kuimba kale ka wimbo pendwa ka ccm, wkt majuzi tu kabla ya kupewa ilani, iliisemea mbovu ilani hiyo...
0 Reactions
2 Replies
731 Views
Hivi Mwalimu angekuwa na mtizamo huu, 'mswahili' gani angemudu nyumba ya NHC. Hii miradi ya nyumba za NHC imelenga kuwafaidisha akina nani? Maana haiingii akilini kuwa mwananchi wa kawaida anaweza...
1 Reactions
28 Replies
14K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linawashikilia watu watatu wanaodaiwa kuwa vinara wa kuwawekea watu dawa za kulevya kwenye vinywaji na vyakula katika vyombo vya usafiri. Kamanda wa Polisi Mkoani...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, imewahukumu kifungo cha jumla ya miaka 60 jela washtakiwa watatu waliotiwa hatiani kwa kukutwa na mguu wa twiga kinyume cha sheria za wanyama pori...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Polisi mkoani Tabora wanawashikilia waganga wa jadi 27 wanaodaiwa kujihusisha na upigaji wa ramli chonganishi. Mwandishi wa Azam TV aliyeko Tabora, Juma Kapipi, anasema hatua ni matokeo ya polisi...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wakuu, Kwa muda mrefu nimekuwa naipenda sana kazi ya Usalama wa Taifa. Ingawa najua kila mtanzania mzalendo ni Usalama wa Taifa lakini mimi naitaka kazi hii kwa urasmi kabisa. Awali...
0 Reactions
76 Replies
18K Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni Susan Kaganda amechukizwa na kukemea vikali baadhi ya askari wa jeshi la polisi wanaobambikizia raia makosa ili kupewa rushwa nakusema hatowafumbia...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
*TIGO-JAZA UJAZWE* *VODA-TIA UTIWE* *AIRTEL-INGIZA UINGIZIWE* *HALLOTEL-WEKA UTIWE* *HAYA MAMBO YA KITHENGE UJUE*...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya kwa kusaidiwa na ushahidi wa Baba mzazi wa Mshitakiwa imemhukumu kunyongwa hadi kufa, Godfrey Sichizya(25) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua Babu yake ili...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Mfanyabiashara 'Pedeshee Ndama' kwa mara nyingine tena amekiri kosa la kutakatisha fedha ambazo ni dola za Marekani 540,000. ------ Awali, Mei 23 mwaka huu, Ndama alikiri kosa na Mahakama ya...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Wadau Hii Kitu Nimeipata Leo, Wananiambia Ni Accept, Kuna Yoyote Alisha Kutana Nayo, Vp Sio hackers Hao, Naombeni Msaada.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam Mh. Mwaka jana uliagiza kusima kwa shughuli baadhi za utumishi ikiwa ni pamoja na UHAMISHO. Ulisema kwa mwezi mmoja au miwili mambo yataendelea. Mkuu, leo umetimia mwaka toka usimamishe...
0 Reactions
1 Replies
836 Views
Back
Top Bottom