LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,320
- 6,677
Wakuu kuna kipindi nilikuwa nakutana na hayo maandishi,IRINGA NDIO MASKANI,nimeamua nianzishe huu uzi ili tuweze kupashana mambo ya mkoa wetu,ingawa wengine tulizaliwa na kukulia mbali,but damu zetu na kabila zetu asili yake ni huko,wazalendo wote wa mkoa wetu tukutane hapa tujadili maendeleo,matukio na kila kitu kuhusu iringa,kimkoa kitaifa na kimataifa.
Picha zikipatikana itakuwa safi zaidi,nakupenda kwetu Iringa!
Picha zikipatikana itakuwa safi zaidi,nakupenda kwetu Iringa!