Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tanzania ni mojawapo wa nchi chache duniani zenye utajiri mkubwa wa wanyama wa mwituni na ndiyo maana maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya Hifadhi za Taifa (National Parks); Mbuga za Wanyama (Game...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Ukiona Wanafunzi wametoka chumba cha Mtihani halafu wanashangilia kuwa ulikuwa mwepesi jua ya kwamba matokeo yakitoka wengi wao huwa Wanafeli tena vibaya mno hadi huja kushangaa. Tukio hili naona...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Mama mjane Bi.Modesta Mukurasi anayemiliki shamba la urithi lililonunuliwa na wazazi wake shilingi tano mwaka 1937 ameiomba serikali kuingilia kati mgogoro wa ardhi kati yake na watendaji wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi great thinkers, Kuna Ndugu yangu wa karibu sana ana elimu ya diploma ya usafirishaji kutoka mombasa bali hana kazi wala pesa anauza miwa. Tatizo Mtaa anaoishi kuna vijana wadogo kiumri na...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Mabaki ya mifupa iliyogunduliwa nchini Morocco inaonesha kuwa binaadamu aliibuka takriban miaka laki tatu iliyopita, miaka laki moja mapema kuliko ilivyodhaniwa awali. Ugunduzi huu pia unaonesha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Uthibitisho kwamba tanzania haina pesa kabisa huwa unaonekana siku ya kufunga budget ya mwaka Unaoisha... Na hii hali huonekana kwenye maisha ya Kila siku ya mtanzania katika ujenzi wa nyumba...
0 Reactions
1 Replies
884 Views
Sengerema. Mlinzi wa kampuni binafsi ya ulinzi ya Nyuki, Seleman Buyoga ameuawa na watu wasiojulikana akiwa lindoni baada ya kuvamiwa. Mlinzi mwingine, Charles Guli amejeruhiwa vibaya katika...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Akizungumza mapema asubuhi ya leo na Kituo cha Luninga cha Channel Ten na Magic fm Radio Nabii anayekuja kwa Kasi nchini Nabii Frank leo amefunguka na kueleza mambo makuu mawili ambayo ndiyo...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari za leo Wakuu Nimeamua kuuliza kupitia jukwaa hili maana DUNIA ya sasa imebadilika Nimepokea meseji toka Airtel kwa mara ya 3 hv au zaidi Inasomeka hv "Dear Customer, Your number is...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Faini zimetamalaki kuanzia NEMC, TRA na Trafiki, wacha leo nizungumzie za Trafiki kila kosa 30,000/= ukishatozwa (maana yake ni ruksa kuendelea na kosa ulilotozwa faini, hakuna namna ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Anapoishi Kaka Pana Umeme,mahakama,shule Mbili,zahanati Mbili,barabara Nzuri Tatizo Ni Hili: Huduma Ya Stationery Hakuna,pana Zahanati Ya Kisasa Lakini Hakuna Gari Ya Kusafirisha Wagonjwa Na...
0 Reactions
10 Replies
898 Views
Akizungumza mapema asubuhi ya leo na Kituo cha Luninga cha Channel Ten na Magic fm Radio Nabii anayekuja kwa Kasi nchini Nabii Frank leo amefunguka na kueleza mambo makuu mawili ambayo ndiyo...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Taarifa ambazo sijathibitisha zinasema kuwa mwandishi na ripota maarufu toka kanda ya Ziwa George Maratu amewekwa lockup baada ya kumkata kwa panga dereva taxi mmoja ambaye alimtuhumu kutembea na...
5 Reactions
155 Replies
22K Views
Wadau, Tukumbushane. Leo, ilitangazwa rasmi ni siku ya mwisho kwa waliobainika tayari kuwa na vyeti feki kujiondoa kwa hiari. Sina uhakika kitakachompata atakayekaidi na akang'ang'ania ofisini.
1 Reactions
46 Replies
8K Views
Asante ndugu na jamaa wote, kuna jambo moja napenda kuliweka mbele yenu Kumeibuka na watu binafsi au kikundi kinachofanya biashara ya ukopeshaji pesa 1: Hawajasajiliwa na serikali 2: Serikali...
0 Reactions
16 Replies
11K Views
Habari za asubuhi wanajamvi! Samahani naomba Kuuliza kwa anayefahamu, Hivi kuna tatizo gani linaweza kutokea endapo utatumia misumari ya bati za kawaida yaani migongo midogo kuezekea bati za...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
BREAKING NEWS. Basi la kampuni ya Coastline lililokuwa linatoka Mwanza kuja Moshi via Arusha limepata ajali mbaya maeneo ya King'ori- Kiwandani mida hii ya saa mbili usiku. Idadi ya majeruhi ni...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Wasalaam, Hilo jina bila shaka linajulikana na liliwahi kuwa maarufu Tanzania. Kiufupi ni kijana aliyekufa akiunga mkono azimio la Arusha. Ninachojiuliza ni kimoja tu,kufuatia hii tabia mpya ya...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Nimeelezwa na Ndugu yangu kuwa Hotel levy au Service Levy ya Hoteli pia imefutwa?. Naomba kwa mtu aliyefuatilia bajeti anipe jibu.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari wakuu, Samahani naomba kusaidiwa beti zote za huu wimbo wa dini sikumbuki vizuri unavyoanza ila nakumbuka sehemu hii," ..... unapo wazuru wengineee... usinpiteee" Natanguliza shukrani za dhati.
0 Reactions
4 Replies
828 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…