real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Mabaki ya mifupa iliyogunduliwa nchini Morocco inaonesha kuwa binaadamu aliibuka takriban miaka laki tatu iliyopita, miaka laki moja mapema kuliko ilivyodhaniwa awali. Ugunduzi huu pia unaonesha kuwa binadamu aina ya Homo Sapiens alikuwepo bara zima la Afrika na sio Afrika Mashariki pekee. Mabaki hayo ni ya watu wenye ubongo mdogo kuliko binaadam wa sasa