UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Hi great thinkers,
Kuna Ndugu yangu wa karibu sana ana elimu ya diploma ya usafirishaji kutoka mombasa bali hana kazi wala pesa anauza miwa. Tatizo Mtaa anaoishi kuna vijana wadogo kiumri na amewazidi maarifa wana mkejeli sana katika mazungumzo na kumteta.
Mabint Pia wanamdharau sana na wala hajawatongoza. Jana Usiku kaniita anataka ushauri kwangu jinsi ya kuzima kijana mmoja nimemsihi kuna mtoto mmoja ana kagari ka urithi anamkejeli sana eti kisa choka mbaya ameghadhibika.