Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukikamatwa na MAGUFULI hakuna SULUHU Kutoka MAJALIWA
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wandugu sasa hapa muda muafaka wa kuamua hawa hakuna kuwapa leseni ili mkataba wao na Tanesco uishe automatically, na wale wanaojaribu kulikumbatia IPTL ni sawa na magaidi,kilichomo katika Mkataba...
0 Reactions
2 Replies
727 Views
Hon: Hussein Mohamed Bashe Amezaliwa tarehe 26/08/1975 Muhitimu wa Bachelor of Business Adminstration in marketing pale mzumbe mwaka 2002. Bashe kabla ya kuwa member of parliament amewahi kua ...
31 Reactions
79 Replies
38K Views
Maazimio 8 yaliyopitishwa na Bunge kuhusu akaunti ya Tegeta Escrow ( NAWAKUMBUSHA TU ) 1 Bwana Harbinder Singh Seth na wengine Bunge linaazimia kwamba, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na Vyombo...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimekuwa nikitembelea mitandao mbalimbali ya kijamii lakini kuna jambo linanishangaza kwa watu waliozaliwa mwezi June na wale wa May mwishoni wanaojiita Gemini, why wanajitangaza sana kila mahali...
0 Reactions
14 Replies
10K Views
RATIBA YA WANAUME WA DAR W/KEND 1.Asubuhi-Chai na soseji moja na yai la kuchemsha Baada ya chai anaangalia tamthiliya ya kifilipino[emoji2][emoji2][emoji2] 2.Mchana-Chips mayai na mayonaiza na...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Mkazi wa Kitongoji cha Kazamoyo, wilayani hapa, Erick Mwarabu (37) ameuawa kwa kupigwa risasi usiku akiwa nyumbani kwake. Watu wa karibu katika eneo hilo wamesema marehemu huyo aliyekuwa askari...
8 Reactions
252 Replies
33K Views
ACT kina nafasi kubwa kujijengea imani kwa jamii na kuweza kushika nafasi nyingi bungeni hatimae kuingia ikulu haijalishi ni lini. Utulivu ni nguvu kubwa sana ambayo wasomi wengi huipenda kuliko...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Weakest currencies Strongest currencies
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Kwanza napongeza manispaa ya Temeke kwa kututengenezea barabara zetu baada ya kuharibiwa vibaya sana na wenye malori. Naomba wahusika- Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na wote wenye mamlaka wapige...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kundi la watu wanaosadikiwa kuwa majambazi wamevamia mgodi wa dhahabu wa wachimbaji wadogo katika kijiji cha Nyakavangala kilichopo katika tarafa ya Isimani wilayani Iringa na kupora fedha...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Hii inatokea Tanzania kwetu tu, kwamba mtu hafundishi na wengine hata ana miaka 10 hajawahi kukanyaga Chuoni lkn anaitwa Profesa, sasa kwa nini?
1 Reactions
48 Replies
12K Views
Ndugu katika JF, Mimi si mtaalamu wa MAMBO ya AURA,meditation,supernatural power n.k lakini nimesoma thread za hayo mambo. kuna wakati najiuliza je hizo nguvu za asili na maajabu, ninazo ? pia...
4 Reactions
47 Replies
13K Views
NEWS ALERT! Mwenyekiti wa Chama Cha Waendesha Pikipiki maarufu kama bodaboda manispaa ya Shinyanga Jacob Paul (36) amejiua kwa kujinyonga kwa kutumia waya wa simu chumbani kwake katika mtaa wa...
3 Reactions
55 Replies
7K Views
Siku za hivi karibuni, ukikutana na brother man anatembea kwa mguu au kapanda daladala, alikuwa anajiwahi kwa kisingizio kuwa gari lake limekamatwa na TRA :rolleyes::rolleyes::rolleyes:. Sasa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu: Naomba nitoe maoni yangu/mchango wangu kuhusiana na bajeti, hususani kwenye KODI ZA MABANGO kukabihiwa TRA, KWA maoni yangu, hili ndilo jambo baya zaidi kuwahi kuanywa na serikali toka...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Mchungaji huyu wa KKKT Usharika wa Kigogo amekuwa msaada kubwa sana waathirika wa madawa ya kulevya kwa kuwapa msaada wa mahitaji ya mwili na ya kuroho. Waathirika wengi wa madawa wengi huwaita...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
watu watatu wamefariki wiki hii ktk tukio liliwashangaza watanzania. tukio hilo limetokea ktk kijiji cha nyansincha kata ya nyansincha wilaya ya tarime. Alianza kufariki mume siku ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna haka kadada kanajiita Gigy Money,..kutwa kucha kazi yake ni kujianika uchi, kutengeneza video za uchi na kuziweka youtube pamoja na kutoa masomo ya umuhimu wa umalaya. Kama mzaha, lakini...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimewasikia wafanyabiashara kupitia Redio Free Africa Leo asubuhi wa nyanya wa Ilula wanalalamika kuwa biashara ya nyanya imekuwa ngumu na heri hata kujinyonga kuliko Kuna nyanya zinaharibika...
1 Reactions
55 Replies
6K Views
Back
Top Bottom