ACT kwa utulivu wenu mnaingia ikulu

Sinda69

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
379
250
ACT kina nafasi kubwa kujijengea imani kwa jamii na kuweza kushika nafasi nyingi bungeni hatimae kuingia ikulu haijalishi ni lini.

Utulivu ni nguvu kubwa sana ambayo wasomi wengi huipenda kuliko kelele. Hakuna mtu timamu atakaependa fujo na kiki za akina Lisu, Bulaya, Mdee hizi fujo haziwezi vumiliwa na wasomi walio wengi.

Itafika mahala kutakuwa na movement kubwa ya watu kutoka CHADEMA kwenda ACT hata ikitokea sasa mtu anahama CCM, basi kuna uwezekano mkubwa kuwa mtu huyu ataenda chama tulivu ACT na si chama fujo CHADEMA.

Kwa yaliyotokea CHADEMA ya akina Mdee na Bulaya na yale mengine..
.....mstakabari wake kisiasa siyo mzuri.

Kama vyama vingine vitaweka watu makini 2020 Kawe na Bunda na kama CHADEMA itawarudisha pale Mdee na Bulaya basi kuna uwezekano mkubwa wa kuyapoteza majimbo haya na mengineyo.

Kwenye matumizi ya mitandao ya kijamii, CHADEMA wametawala sana na hata humu JF wengi ni CDM utaona nitakavyoshambuliwa japo nimewaambia ukweli. Shida ni kwamba maandishi yao mengi yamejaa matusi kiasi kwamba hayavutii wasomi kuyasoma na kutoka na point kusudiwa, maana asilimia kubwa ya maandishi yao ni matusi.

Wosia. Matusi, fujo, kelele hazimpeleki mtu ikulu. Bali utulivu na ujenzi wa hoja yenye nguvu.

Lakini pia kuwa kinyume na raisi kwa kila kitu, ni shida kwa CHADEMA hii hufukuza waungwana, maana haiwezekani wewe kila kitu usione jema hata moja.

Issue ya makinikia hata kama kuna makosa yalitendeka nyumba ikawaka moto zima moto kwanza then tafuta chanzo. Mbinu ya CDM ni tafuta chanzo kwanza. Hii waungwana hawatakaa ila mtabaki na watu ambao siyo waumini wa CDM ila wako pale kwa CDM kama daraja.

Wito tulieni jengeni chama cha kihekima si cha kihuni. Mbinu za fujo, kelele, matusi haziwapeleki ikulu, watanzania wa sasa ni welevu si wale wa viroba tena.

Napita tu nikaona niwape hayo.
 
Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,202
2,000

Kuingia Ikulu kwa ajili ya kunywa chai sivyo? Kumbuka chama kikianza kuwa tishio kwa wakubwa huwa kinapachikwa majina mbalimbali, "Kaskazini, cha kidini, cha kikabila, nk" Wenye chama waki-react wataambiwa kuwa ni chama cha Fujo! That's how politics works! As long as ACT itakuwa sio tishio kwa wakubwa hutasikia hayo majina ya ajabu na kitaonekana "kina utulivu!"
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
11,618

Exactly
 
darcity

JF-Expert Member
Jul 20, 2009
4,963
2,000
Mambo na vitendo vya watawala vinatia uchungu lakini pia naunga mkono zitumike hoja nzito kupinga au kukosoa na mwisho muamuzi atakuwa mpiga kura. Jaziba,hasira,kiburi vinabomoa taswira ya upinzani.
 
Handsome man

JF-Expert Member
May 6, 2017
899
1,000
Ukiwa kijana na unashabikia siasa alfu hauna hela unakuwa limbukeni tu ndo madhara yake haya
 
Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
14,130
2,000
Sasa weye ulitaka Zitto ajibishie yeye mwenyewe mule bungeni? Hivi CDM inawaumiza matumbo sana masisiemu? Eti ACT kuingia ikulu...kwa kura zipi?
 
Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
6,420
2,000
Naona mahaba tu. Tuwaombee wajenge ACT yao na JPM asiwajeruhi zaidi. CDM pamoja na mapungufu yao kitaendelea kuwa chama kikuu cha upinzani Tanganyika na CUF Zanzibar.
 
Akasankara

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
2,892
2,000
ACT kina nafasi kubwa kujijengea imani kwa jamii na kuweza kushika nafasi nyingi bungeni hatimae kuingia ikulu haijalishi ni lini.

Utulivu ni nguvu kubwa sana ambayo wasomi wengi huipenda kuliko kelele. Hakuna mtu timamu atakaependa fujo na kiki za akina Lisu, Bulaya, Mdee hizi fujo haziwezi vumiliwa na wasomi walio wengi.

Itafika mahala kutakuwa na movement kubwa ya watu kutoka CHADEMA kwenda ACT hata ikitokea sasa mtu anahama CCM, basi kuna uwezekano mkubwa kuwa mtu huyu ataenda chama tulivu ACT na si chama fujo CHADEMA.

Kwa yaliyotokea CHADEMA ya akina Mdee na Bulaya na yale mengine..
.....mstakabari wake kisiasa siyo mzuri.

Kama vyama vingine vitaweka watu makini 2020 Kawe na Bunda na kama CHADEMA itawarudisha pale Mdee na Bulaya basi kuna uwezekano mkubwa wa kuyapoteza majimbo haya na mengineyo.

Kwenye matumizi ya mitandao ya kijamii, CHADEMA wametawala sana na hata humu JF wengi ni CDM utaona nitakavyoshambuliwa japo nimewaambia ukweli. Shida ni kwamba maandishi yao mengi yamejaa matusi kiasi kwamba hayavutii wasomi kuyasoma na kutoka na point kusudiwa, maana asilimia kubwa ya maandishi yao ni matusi.

Wosia. Matusi, fujo, kelele hazimpeleki mtu ikulu. Bali utulivu na ujenzi wa hoja yenye nguvu.

Lakini pia kuwa kinyume na raisi kwa kila kitu, ni shida kwa CHADEMA hii hufukuza waungwana, maana haiwezekani wewe kila kitu usione jema hata moja.

Issue ya makinikia hata kama kuna makosa yalitendeka nyumba ikawaka moto zima moto kwanza then tafuta chanzo. Mbinu ya CDM ni tafuta chanzo kwanza. Hii waungwana hawatakaa ila mtabaki na watu ambao siyo waumini wa CDM ila wako pale kwa CDM kama daraja.

Wito tulieni jengeni chama cha kihekima si cha kihuni. Mbinu za fujo, kelele, matusi haziwapeleki ikulu, watanzania wa sasa ni welevu si wale wa viroba tena.

Napita tu nikaona niwape hayo.
Huu ni utafiti au umbea na ramli?
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
90,152

Labda ikulu ya Mwandiga
 
Watakwendaje ikulu wakati baba zao ccm bado wako ikulu?au hujui kuwa ACT ni mtoto wa ccm?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom